Vitu vifuatavyo vinauzwa.

Vitu vifuatavyo vinauzwa.

Vitu ni vizur na bei ni nzur,hasa hicho King'amuz cha Dstv na Godoro,ila picha ya Godoro mkuu ndiyo haujaweka
 
Mkuu natumia simu na kuingia natumia app ya jf naomba unielekeze.
sawa mkuu, sasa fungua ile comment yako yenye namba, halafu fanya kama unataka kui- quote hivi kwa kuigusa ili kivuli cha bluu kitokee, baada ya hapo juu kulia kuna vidoti vitatu, fungua hapo, zitatokea option mbalimbali sasa wewe chagua edit then utaona comment yako inafunguka kwa namna ambayo utaweza kuongeza au kupunguza neno kisha uta-save...,
Au kwenye zile option, badala ya kuchagua edit, unaweza ukachagua option ya moderate kisha chagua delete na itafutika.
 
Nashukuru sana mkuu nimefuta tayari

Nimesumbuliwa sana na watu mpaka saivi sijui hawasomagi koments hadi mwisho waone.
 
sawa mkuu, sasa fungua ile comment yako yenye namba, halafu fanya kama unataka kui- quote hivi kwa kuigusa ili kivuli cha bluu kitokee, baada ya hapo juu kulia kuna vidoti vitatu, fungua hapo, zitatokea option mbalimbali sasa wewe chagua edit then utaona comment yako inafunguka kwa namna ambayo utaweza kuongeza au kupunguza neno kisha uta-save...,
Au kwenye zile option, badala ya kuchagua edit, unaweza ukachagua option ya moderate kisha chagua delete na itafutika.
Mkuu tatizo lingine ni kama mtu aliniquote yale maandishi yenye namba unawezaje kuyafuta maana namba bado zinaonekana kwenye uzi sehemu ya pili ambayo mtu kaniquote..???‍♂️‍♂️
 
kama kuna mtu ali-quote, hapo ni mpaka msaada wa mods,
 
Nielekeze mkuuu please maana nilivyokoment tu hapo kwamba kila kitu kimechukuliwa imekuwa kama nimechokoza nyuki watu watano tayari wameshanipigia wanaulizia hivyo vitu sijui hawasomagi hadi mwisho
ushapata fursa,usihame.nunua vitu mnadani wauzie , wanaokutafuta hewani
 
ningekushauri usiuze vitu vya ndani mkuu ila pambana tu utavuka
 
Mkuu na mimi sikupenda kabisa kuuza ila imenibidi niuze baada ya kumaliza chuo niende zangu mkoani ndo kwetu huku sina ndugu na kazi nimeipatia hukohuko mkoani hamna jinsi.
 
Habarini wakuu nauza vitu vya ndani kama ifuatavyo,,,,

Sumsung tv inch 24.
Bei yake ni 300,000 Tsh.

Fridge aina ya MENGCHI
bei yake ni 220,000 Tsh.

Kabati la nguo milango mitatu lenye dressing table
Bei yake ni 180,000 Tsh.

Sofa ya watu wawili.
Bei yake ni 100,000 Tsh.

Redio spika tatu pamoja na meza yake.
Bei yake ni 130,000 Tsh.

Rice cooker kampuni ya Kenwood.
Bei yake ni 50,000 Tsh

Mtungi wa gesi MIHAN Gas
Bei yake 40000 Tsh.

King'amuzi cha DSTV pamoja na Dish lake yani full set 60000 Tsh.

Na vitu vingine ambavyo sijapiga picha ni blender aina ya ZEC yenye kioo kwa 45,000 Tsh,Godoro 5×6 bei yake ni 60,000Tsh na pasi pia ipo kwa 20000Tsh.
Picha zote tazama hapa chini.
.
View attachment 593565View attachment 593566View attachment 593567View attachment 593568View attachment 593569View attachment 593570View attachment 593571
Mawasiliano mkuu nakupataje
 
Back
Top Bottom