Lihove2017
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 423
- 560
Vipi ni issue ya madeni ya Finca au mambo ya marejesho ya kwenye vikoba?
Pole sana mkuu, I bet u'r going through the hard way! usikate tamaa.baada ya kusoma tangazo hili, machozi yamenilenga mkuu.
Tutafika tu ingawa tutachelewa!
Mkuu pole sana, I bet u'r going through the hard way..usikate tamaa u'r day is coming!baada ya kusoma tangazo hili, machozi yamenilenga mkuu.
Tutafika tu ingawa tutachelewa!
Pole sana mkuu, I bet u'r going through the hard way! usife moyo its gone be alryt!baada ya kusoma tangazo hili, machozi yamenilenga mkuu.
Tutafika tu ingawa tutachelewa!
Kwani hivyo vitu vyako?baada ya kusoma tangazo hili, machozi yamenilenga mkuu.
Tutafika tu ingawa tutachelewa!
Nakushauri uifungue hiyo friji na uipige picha ya ndani utuonyeshe.
14.6kgMtungi wa gesi wa kilo ngapi?
Yaahh..!!!kitanda kipo pamoja na godoro tano kwa sita bei 100000 Tsh.Kitanda vipi mkuu kama unauza 50k
Mlango mmoja angalia picha nimetuma tayariKabati Malango miwili au mitatu?
Ipo mkuu pamoja na chandaruaSijaona pasi mkuu
Mm nataka redio tu nina elf 50Mie nahitaji hiyo friji nipo katavi nahipataje?