Vitu vifuatavyo vinauzwa.

Vitu vifuatavyo vinauzwa.

Naomba mods mnisaidie kunifutia hizo namba zangu please...!!![emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️
fanya kama ku- edit ile comment yenye namba ili uzifute, mbona simple tu.
 
UPDATE:

Vitu vyote nilivyoweka hapa JF vimechukuliwa tayari sikutegemea na nashukuru sana mods kwa kuulinda uzi huu Jamii forum ndo kila kitu yani ndani ya siku mbili kila kitu kimechukuliwa. [emoji119]

THANKS ALL ,,Narudi zangu mkoani nawaachia wenye jiji mpambane na hali zenu[emoji123][emoji41]
Hahahaha ila umejitahidi wenzako mwezi Wa 7 on spot walikuwa wamesharudisha chenji
 
fanya kama ku- edit ile comment yenye namba ili uzifute, mbona simple tu.
Nielekeze mkuuu please maana nilivyokoment tu hapo kwamba kila kitu kimechukuliwa imekuwa kama nimechokoza nyuki watu watano tayari wameshanipigia wanaulizia hivyo vitu sijui hawasomagi hadi mwisho[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji15]
 
Mkuu naomba unielekeze namna ya kufanya please[emoji134] [emoji134]
unatumia device gani kuingia JF mkuu, .... pc au simu, na kama ni simu unatumia web/browser au unatumia jf app??
 
unatumia device gani kuingia JF mkuu, .... pc au simu, na kama ni simu unatumia web/browser au unatumia jf app??
Mkuu natumia simu na kuingia natumia app ya jf naomba unielekeze.
 
Kwa mawasiliano yangu
Ni 0716-473786 au 0755-922096
Mwenye niya naomba anitafute kwa hizi namba tu.
U'r welcome Nipo hapa mbezi mwisho .
@mods naomba mnisaidie kufuta hizi namba please ,watu bado wanaulizia nimeshamaliza kuuza kila kitu kwa hiyo wasiendelee kunitafuta jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji35] [emoji35]
 
Nicheki WhatsApp mkuu 0682562162
Hivi nyie si nimeshaandika hapo kwamba nimemaliza kuuza kila kitu nikutafute tena kwa ajili ya nn..??
[emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji15]
 
Hivi nyie si nimeshaandika hapo kwamba nimemaliza kuuza kila kitu nikutafute tena kwa ajili ya nn..??
[emoji134] [emoji134] [emoji15] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muendeleze mawasiliano labda baadae kuna bidhaa nyingine utauza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muendeleze mawasiliano labda baadae kuna bidhaa nyingine utauza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya bhana.
 
Back
Top Bottom