Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,866
- 2,117
Kusema ukweli sipendi kufuatilia abcd zao! Simply Google tu utapata kila kituWanaamini nini hao raia?
Hi JF. member.
Mimi ningependa kuchangia mada hii kwa kuanzia na masuala ya mtoa thread kuwa masuala yote hayo hata kama Muungu mwenyewe angeliajibu yasingekuwa na faida yoyote kwa binaadamu, hivyo kwa kuwa muungu anajua nini sisi binaadamu tunahitaji kuliko tunavojijua wenyetu ndo ametiletea vitabu na kutowekea au kujibu masuala ambayo zaidi yanafaida kwa binaadamu. Kumbuka akili ya binaadamu ina kikomo, hivyo inaupungufu na kuna masuala kama utajiuliza unaweza kupata uchizi mfano muungu amekujaje, muungu anakaa wapi, muungu anajinsia gani nk, masuala haya yote ni magumu kujibiwa na akili ya binaadamu .
Tuende kwenye hoja za mtoa mada.
1. Muungu hakuumba muungu, jibu muungu haweze kuumba muungu mwengine kwani sifa kubwa ya muungu yupo mmoja, hakuza wala hakuzaliwa, hajafana na kiumbe chake chochote, hafi wala halali usingizi au kusinzia, hasahau nk, hivyo kuumba muungu mwengine ni kusababisha problem ktk kumanage ulimwengu na viumbe vyake hebu fikiria km angeliumba muungu mwengine na muungu mmoja akataka mtoa mada afariki na muungu mkuu yeye akataka mtoa mada aendelee kuwa hai, jee sio ingelibidi wapigane wenyewe kwa wenyewe? Na ndio maana waislamu wanakataa kuwepo kwa muungu baba, mwana na roho mtakatifu, kwani kama itakubalika hivo basi wanao amini muungu baba atakuwa amemuumba muungu mwana na amemuumba muungu roho mtakatifu, kwa hio jibu kwa imani hio, utakuwa umeshapewa ila kwa waislamu muungu ni mmoja tu.
Ningependa kukurekebisha kidogo, mzee Mungu YHWH sio Muungu, Muungu ni hawa kina Amun, apolo na kina Artemis ila unapofikia Hatua ya Kumzungumzia Mungu Aliyewakomboa wana wa Israel kutoka utumwani misri hutakiwi kumuita Muungu, yeye Mwenyewe alijua kuna Miungu wengi Duniani miungu zaidi ya 10000! Ndo maana akasema usiabudu Miungu wengine
Kwa nini mungu muweza yote, mjuzi wa yote na nwenye maoenzi yote ahitaji mabaya yawepo ili tu wawe kwenye imani ya kweli?
Alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na mungu yuko wazi kwa kila kiumbe kiasi viumbe wake wote wana ujuzi wa kweli, si imani tu?
Kulikuwa na lazima gani kwa mungu kuumba ulimwengu ambao watoto wanazaliwa na matatizo ya ubongo kutokana na Zika virus, au wanazaliwa na Ebola, au wanakufa katika tsunami, au wanauawa katika genocide?
Huyu mungu yupo kweli au katungwa na watu tu?
Mkuu hapa nna kaswali ikiwa hakuna shetan wala majini kwann unaamin kaballa inaweza ikamfanya MTU akawa chiz, maana hapo umesema kabala ndo imemfanya britney spears awe chiz. Je una ushahid?Wote wanahangaika tu.
Kabala ndiyo imemfanya Britney Spears kadata naye kawa kama chizi
Nitoe ushamba kidogo mwana kabala ndo yukoje
Ni imani pia inayoabuni na dini ya wayahud(Judaism)Usiombe mkuu! Hiyo ni imani fulani pendwa na watu maarufu kama Madona na wengineo! Ukiingia humo hutoki salama! Muulize kiranga atakuhadithia zaidi! Hapa kwetu sijaona lkn waumini wanaweza kuwepo
Mkuu hii elimu kabisa nimesoma mambo ya Lilith nmesoma mambo ya miungu y misri nmesoma bible ila hii elimu mpyaNi wazi upo kwenye wakati mgumu sana, kiimani na unataka kujua Mungu wa kweli kwanini katelekeza wanadamu, swali ambalo kimsingi ukijiuliza kwa misingi ya Imani kuu kama ukristo, uislam, na hata uebrania unaweza kupata majibu yatakayokuwa na utata ndani yake, na ndiyo maana umeamua kujikita kwenye sayansi ya kidunia ili kutafuta njia itakayokupa tulizo rohoni, ingawa ukweli unapenda kujua huyo Mungu ni kitu gani na yupo au lah,
Kiufupi naweza kukuhadithia story ya Musa na kitabu chake cha (MWANZO) kiufupi kitabu kile kimeandikwa kwa fasihi sana, na hilo limekuwa ni tatizo kwa watu mpaka leo kwani wamekuwa hawaelewi vizuri kitabu kile.... Kifupi ninachoomba ujue ndugu yangu ni kuwa Mungu ninayetaka umjue, yeye aliumba Binadamu Wanne hapo mwanzo, katika MWANZO watu hao wametajwa kwenye 1.26 na kuthibitishwa kwenye 5.1,2 Watu hao waliumbwa mbinguni, sio hapa Duniani, na hao ndio waliokuwa na uwezo mkubwa zaidi kwa nguvu na Kutawala, Mungu huyo aliwapa watu hawa kazi ya kwenda kutawala Kila kitu Duniani, ila bahati mbaya zogo lilianzia hukohuko mbinguni ambapo Mwanamke mmoja kati ya wale watu wanne yaani Kwa kimisri, Atum, Amun, Ra, na Lilith huyu lilith alimsaliti mwenzie Atum na akaanza kutembea na moja ya malaika mbinguni, ambapo kitu kilichokuja kuzaliwa hapo walikuwa ni majini, hivyo Mungu uzao huo akawa hautambui akamfukuza Lilith mbunguni na huyo mmewe wa kimalaika na hao watoto wao yaani (Majini) Duniani na kuwatupa huko baharini..
Mungu akabaki na wale wanadamu watatu kule mbunguni akamtuma mmoja wapo yaani Atum aje aumalizie ulimwengu kwa maana ilikuwapo dunia, giza na Maji na tayari hao kina lilith na majini walikuwa wameshatupwa Duniani, so wao walikuwapo huko majini,
Atum alipokuja Duniani alifanya kazi aliyotumwa na Mungu wake, ambapo aliumba kila kitu unachokiona sasa kwa kufuata neno/agizo la Mungu, Atum ni mmoja ya miungu anayeabudiwa saana na mababu weusi wa Misri.... Kisha huyohuyo atum ndiye akamuumba mwanadamu mwingine kwa Udongo kwenye mwanzo 2:7 ingawa mle anatajwa kama ni Mungu,
Baada ya ulimwengu na wanadamu kukamilika Dunia ilikuwa ya kuvutia na kupendeza miongoni mwa malaika Mbinguni, baadae ndipo Mungu mbinguni akamshusha huyo aitwaye Amun, kwa mababu weusi wa kale wa misri, au Amen kwa waroma na ndiye wamchaye mpaka sasa wakimuita AMEN au Zeus kwa wagiriki, Huyo Amen na mwenzie RA walishuka duniani hapo ndipo kazi ya MUNGU mkuu wa mbinguni ikawa imekwisha..... maana alikywa ameshaumba Dunia na watawala hivyo dunia ilikuwa inajitegemea, na hao Amun Atum na Ra walipewa nguvu mpaka za kuwaamuru malaika..
Ukiachilia mbali nguvu Tofauti walizokuwa wamepewa kama vile Amun nguvu za radi, maji na nk, Sasa huku kwenye Mwanzo hakuna hata sehemu Moja iliyomtaja Mungu wa Mbinguni, yaani YHWH.. imekuwa ikizungumzia sanasana Amun, ambapo utajiuliza kwanini Mungu kwenye Mwanzo alikuwa hatabiri na kigeugeu! Mara anasema nakula kiapo sitawaangamiza mbele unakuta anaangamiza tena,! So kitu ambacho napenda ujue ni kuwa Mungu aliyezungumziwa kwenye kitabu cha kutoka tu, Mungu anayezungumziwa mle ni Amun, ambaye kiuhalisia si Mungu ni mwanadamu aliyepewa mamlaka ya kutawala, Hivyo Mungu YHWH yupo zake mbinguni, na kazi yake alishamaliza Duniani kwa kutuumba na kutupa viongozi, ila balaa linaanzia hapo ambapo utakuja kugundua kuwa katik uzao wa huyo Amun, kila mwanafamilia anajiita Mungu, Mungu wanakuwa wengi mpaka mtu anaona asiamini tu kama kuna Mungu, Ila kiuhalisia Mungu YHWH yupo na siku ambapo yeye atakuja kuigusa hii dunia hapo ndipo utakuwa mwisho wa kila kitu, huyo ndiyo mmoja apaswaye kuabidiwa kwa haki ila, kwa sasa Dunia bado ipo kwa aliowapa Dunia, maana ni alishaikabidhi kwenye mikono ya kina Amun, Atum, Lilith na Ra...
Magharika kama yale ya moto kutoka juu kama kwenye Sodoma na Ghomola ile ilikuwa ni kazi ya amun maana yeye alipewa nguvu za Moto, radi na Mvua, na sifa zake hizo zinajulikana kabla hata ya Musa hajaanza kuandika Vitabu kutoka kwa mababu Weusi wa kale wa misri..
Acha uchawi wwMungu hayupo, ni hadithi ya kufikirika tu.
Kama unadai yupo, thibitisha.
Acha uongo mzee we hapo una uwezo wa kuiamrisha mvua ikashuka sasa hapo ulipo!? Kama hukutumia Uchawi!Kwa mujibu wa Biblia vitu vyote ni hai kuanzia maji, mawe, udongo, mvua, upepo n.k na ndio maana Mungu au watu wa Mungu wanauwezo wa kuongea au kuviamrisha vitu hivyo na vikatii.
A wager is as good as the information you have.duh,kuna watu wana kufuru sana kwenye huu uzi...bora uamini yupo ili ukimkuta upate kusalimika,kuliko kutomuamini hlf ukimkuta huko akhera sijui ndo utamuleza kitu gani...au sijui ndo utamuuliza na kumueleza hizi pumba zako hapa!
Basi nakushauri uache tu, kufuatilia suala hili la Imani, maana hutapata kuamini kabisa kwa ulivyojijenga.. labda siku Mungu amtume nabii wake aje akufufulie mtu unayempenda au kikundi cha watu wako, inawezekana hapo ukaanza kumsadiki, ingawa kwa ubishi wako, unaweza ukaanza kubishana na Mungu waziwazi kwa kumletea mambo ya simultaneous..Ushawahi ku solve simultaneous equation?
Unaposolve simultaneous equation, unaweza kuanza kwa kusema "let x =y". Hapo hujajua kwamba "x =y". Umeanza kwa kujiaminisha tu, ili u solve what is x and what is why.
Lakini mwisho, ukija ku prove the value of x and y, huna haja ya kuamini, kwa sababu ushaprove.
Ninaposema sitaki kuamini, hilo haliaminishi kwamba sitaki kuamini hata katika process ya verification. Kama huamini hivi, huwezi hata kuamka kitandani. Nakwambia sitaki kung'ang'ania kuamini wakati kuna ku prove.
Kwa nini ning'ang'anie kuamini x = y wakati nina uwezo wa ku verify na ku prove logically?
Ni wazi upo kwenye wakati mgumu sana, kiimani na unataka kujua Mungu wa kweli kwanini katelekeza wanadamu, swali ambalo kimsingi ukijiuliza kwa misingi ya Imani kuu kama ukristo, uislam, na hata uebrania unaweza kupata majibu yatakayokuwa na utata ndani yake, na ndiyo maana umeamua kujikita kwenye sayansi ya kidunia ili kutafuta njia itakayokupa tulizo rohoni, ingawa ukweli unapenda kujua huyo Mungu ni kitu gani na yupo au lah,
Kiufupi naweza kukuhadithia story ya Musa na kitabu chake cha (MWANZO) kiufupi kitabu kile kimeandikwa kwa fasihi sana, na hilo limekuwa ni tatizo kwa watu mpaka leo kwani wamekuwa hawaelewi vizuri kitabu kile.... Kifupi ninachoomba ujue ndugu yangu ni kuwa Mungu ninayetaka umjue, yeye aliumba Binadamu Wanne hapo mwanzo, katika MWANZO watu hao wametajwa kwenye 1.26 na kuthibitishwa kwenye 5.1,2 Watu hao waliumbwa mbinguni, sio hapa Duniani, na hao ndio waliokuwa na uwezo mkubwa zaidi kwa nguvu na Kutawala, Mungu huyo aliwapa watu hawa kazi ya kwenda kutawala Kila kitu Duniani, ila bahati mbaya zogo lilianzia hukohuko mbinguni ambapo Mwanamke mmoja kati ya wale watu wanne yaani Kwa kimisri, Atum, Amun, Ra, na Lilith huyu lilith alimsaliti mwenzie Atum na akaanza kutembea na moja ya malaika mbinguni, ambapo kitu kilichokuja kuzaliwa hapo walikuwa ni majini, hivyo Mungu uzao huo akawa hautambui akamfukuza Lilith mbunguni na huyo mmewe wa kimalaika na hao watoto wao yaani (Majini) Duniani na kuwatupa huko baharini..
Mungu akabaki na wale wanadamu watatu kule mbunguni akamtuma mmoja wapo yaani Atum aje aumalizie ulimwengu kwa maana ilikuwapo dunia, giza na Maji na tayari hao kina lilith na majini walikuwa wameshatupwa Duniani, so wao walikuwapo huko majini,
Atum alipokuja Duniani alifanya kazi aliyotumwa na Mungu wake, ambapo aliumba kila kitu unachokiona sasa kwa kufuata neno/agizo la Mungu, Atum ni mmoja ya miungu anayeabudiwa saana na mababu weusi wa Misri.... Kisha huyohuyo atum ndiye akamuumba mwanadamu mwingine kwa Udongo kwenye mwanzo 2:7 ingawa mle anatajwa kama ni Mungu,
Baada ya ulimwengu na wanadamu kukamilika Dunia ilikuwa ya kuvutia na kupendeza miongoni mwa malaika Mbinguni, baadae ndipo Mungu mbinguni akamshusha huyo aitwaye Amun, kwa mababu weusi wa kale wa misri, au Amen kwa waroma na ndiye wamchaye mpaka sasa wakimuita AMEN au Zeus kwa wagiriki, Huyo Amen na mwenzie RA walishuka duniani hapo ndipo kazi ya MUNGU mkuu wa mbinguni ikawa imekwisha..... maana alikywa ameshaumba Dunia na watawala hivyo dunia ilikuwa inajitegemea, na hao Amun Atum na Ra walipewa nguvu mpaka za kuwaamuru malaika..
Ukiachilia mbali nguvu Tofauti walizokuwa wamepewa kama vile Amun nguvu za radi, maji na nk, Sasa huku kwenye Mwanzo hakuna hata sehemu Moja iliyomtaja Mungu wa Mbinguni, yaani YHWH.. imekuwa ikizungumzia sanasana Amun, ambapo utajiuliza kwanini Mungu kwenye Mwanzo alikuwa hatabiri na kigeugeu! Mara anasema nakula kiapo sitawaangamiza mbele unakuta anaangamiza tena,! So kitu ambacho napenda ujue ni kuwa Mungu aliyezungumziwa kwenye kitabu cha kutoka tu, Mungu anayezungumziwa mle ni Amun, ambaye kiuhalisia si Mungu ni mwanadamu aliyepewa mamlaka ya kutawala, Hivyo Mungu YHWH yupo zake mbinguni, na kazi yake alishamaliza Duniani kwa kutuumba na kutupa viongozi, ila balaa linaanzia hapo ambapo utakuja kugundua kuwa katik uzao wa huyo Amun, kila mwanafamilia anajiita Mungu, Mungu wanakuwa wengi mpaka mtu anaona asiamini tu kama kuna Mungu, Ila kiuhalisia Mungu YHWH yupo na siku ambapo yeye atakuja kuigusa hii dunia hapo ndipo utakuwa mwisho wa kila kitu, huyo ndiyo mmoja apaswaye kuabidiwa kwa haki ila, kwa sasa Dunia bado ipo kwa aliowapa Dunia, maana ni alishaikabidhi kwenye mikono ya kina Amun, Atum, Lilith na Ra...
Magharika kama yale ya moto kutoka juu kama kwenye Sodoma na Ghomola ile ilikuwa ni kazi ya amun maana yeye alipewa nguvu za Moto, radi na Mvua, na sifa zake hizo zinajulikana kabla hata ya Musa hajaanza kuandika Vitabu kutoka kwa mababu Weusi wa kale wa misri..
Hujajibu swali langu.
Kwa nini mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Kabla ya huyo Amun kuwa na nguvu za kufanya mabaya, huo uwezo wa mabaya kufanyika ulikuwepo, na uliumbwa na mungu kwa mujibu wenu maana mungu ndiye aliyeumba ulimwengu, angeamua angeweza kuumba ulimwengu ambao jambo lolote baya haliwezekani kufanyika na kiumbe yeyote, kama vile wewe usivyoweza kurudi nyuma katika muda.
Kwa nini mungu hakuumba ulimwengu huo na kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
Hujajibu swali. Umelikwepa na kuli dismiss tu.Lakini baada ya kumpa magonjwa kisha akamfundisha namna ya kujitibu.Sasa kama kusingekuwa na magonjwa Medical doctors wangepatikanaje au wangepataje ajira??????
We unazungumzia sunami,kati ya sunami na ghalika la Nuhu lipi kubwa??? hizo ni changamoto ndogondogo tu za kimazingira.
Mungu hawezi kutungwa alafu akawa Mungu.
Kuhusu swali ambalo unapest kila siku ni kwamba Sasa kusingekuwa na mabaya ungewezaje kulipima jambo zuri.
Sitaki kuamini, nataka kujua. Na hakuna kujua bila uchunguzi.Mzee nakushauri uache kufuatilia habari za kuwa Mungu yupo, amini unachoamini wewe na mwili wako....