Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,806
- 152,939
Kwa nini kuwepo kwangu hapa ni lazima kuwe kwa sababu ya mungu tu na si kitu kingine chochote?Sasa kama hayupo ww ulitokea wapi?
Au na wewe ni wakusadikika tu
Kwa nini kuwepo kwangu hapa ni lazima kuwe kwa sababu ya mungu tu na si kitu kingine chochote?Sasa kama hayupo ww ulitokea wapi?
Au na wewe ni wakusadikika tu
Kitu kama kipi sasa?Kwa nini kuwepo kwangu hapa ni lazima kuwe kwa sababu ya mungu tu na si kitu kingine chochote?
Chochote kile.Kitu kama kipi sasa?
kweli ukitaka kumjua Mungu zaid utajikuta unachiz cz Mungu achunguziki kama tunavyo fikiria ndo maana hakuna mwenye jibu kamili lililokamilika kuhusu yeye ACHENI MUNGU AITWE MUNGU NA USIMRINGANISHE NA CHOCHOTEMungu na Shetani wana Undugu au Ni Maadui wa Asili? wote wana uwezo si ndio? Maana Hadith inasema Theluthi mbili ya Malaika hawakuasi na Theluthi moja ya Malaika iliasi ikawa Vita Mungu akashinda kutokana na wingi wa Jeshi lake la Malaika theluthi Mbili so ni Sawa na Russia na America Ni Ndugu wote Wazungu na wote wana Nguvu Sababu ya Uwezo wao wamebakia kutishiana tu bila Action..... Shetani hata akufanye nini wewe Mungu Atatizama tu Maana Akianzisha Vita ni Balaa zitapigwa Kinoma na Kwa Sasa Shetani wako ana wafuasi wengi zaidi ndio maana Dunia haiishi Hakuna wa Kuanzishisha Vita ila Mikwara itaendelea na Majigambo... Jamani Raha si Raha.....!
Vitabu vya Dini vinasema Binadamu aumbwe kwa Mfano wa Mungu so ujinga wako wa kutokusoma usikufanye uache kumchunguza Mungu... Hao waliokuadithia walimchunguza au walibuni tu?kweli ukitaka kumjua Mungu zaid utajikuta unachiz cz Mungu achunguziki kama tunavyo fikiria ndo maana hakuna mwenye jibu kamili lililokamilika kuhusu yeye ACHENI MUNGU AITWE MUNGU NA USIMRINGANISHE NA CHOCHOTE
umeumbwa kwa mfano wa Mungu lkn hujaumbwa ili umchunguze yeye sawa we mjanja?Vitabu vya Dini vinasema Binadamu aumbwe kwa Mfano wa Mungu so ujinga wako wa kutokusoma usikufanye uache kumchunguza Mungu... Hao waliokuadithia walimchunguza au walibuni tu?
So ukikosa majibu ujue Hakuna Mungu.... Kuwa Makini unapoleta hoja isiyo na Ubongo
Ukifa ndio utaelewa na hili neno pia utalikumbukaHawaweZi kuthibitisha kwamba mungu yupo
Kasome Biblia Mwanzo 1: na kuendeleaHawaweZi kuthibitisha kwamba mungu yupo
Akili zenu enyi kizazi cha Nyoka Mmelaaniwa kwa kukosa Maalifa na akili.... Wapi imeandikwa asichunguzwe na wapi imeandikwa asichunguzwe... Hakika hutokuwa na Jibu... So sikia kasome vitabu vyenu uvielewe na usije na tafsiri nje na vitabu vyenu maana nyinyi mkiondolewa nje ya vitabu vya dini kichwani mnabaki na sifuri... Kitaani mnagaragazwa na sie tunavijua hadi aliyeviandika hivyo vitabu mnavyo viamini... hivi hamuwezi kushangazwa vingine vimeandikwa story mtu alikuwa anaota akaandika Story na mnaamini ati kitabu cha Mungu.. Acheni kuamini Ujinga wa mtuumeumbwa kwa mfano wa Mungu lkn hujaumbwa ili umchunguze yeye sawa we mjanja?
Kama aliyesoma mzumbe ni genius je aliyesoma harvard au Oxford atakuwa nani?Nashangaa sana kuna ****** wanajiona wana akili nyingi sana na wanayaona makosa ya mungu eti kwasababu wana digirii,masters na Phd.Tena wengine wanajiona magenius kwasababu wamesoma UDSM na MZUMBE,kwahiyo wana uwezo mkumbwa sana wa kufikiri na kuchambua mambo ya kuonyesha mapungufu ya mungu.Nathibitisha kwamba wote ni ****** kwa mujibu wa aya ya ALLAH isemayo
"Ahadi ya mwenyezi mungu ni kweli lakini watu wengi hawajui"
ALLAH meahidi kila nafsi itaonja umauti na katika hili hakuna haja ya kuhangaika wala digirii kuliona,pia namalizia kuthibitisha kwamba watu hawa ni ****** tena kwa level ya profesa kwakuuliza swali lifuatalo;
Je mtu aliyekufa kwakupungukiwa damu mwili wake ambao unakua ni maiti ukiongezewa damu atarudi katika uhai au atafufuka?
Ndio wale wale akili ndogo lakini makelele mengi kupita maelezo soma maelezo haya alafu utaniambia;Kama aliyesoma mzumbe ni genius je aliyesoma harvard au Oxford atakuwa nani?
Na wewe usitupotoshe, sidhani kama ninyi wote mna majibu sahihi, na ushahidi gani kama kuna galaxy zaidi ya mia, kama sio kulishwa na kuaminishwa na uongo wa Vatican na theory yao ya Bigbang pamoja na Mshirika wao NASA. Ukweli wa jinsi ulimwengu ulivyo tutaujua baada ya maisha haya tukijaaliwa. Mimi siamini kuwa eti dunia ni sphere, mimi naamini ipo flat kwa evidence ya maji ya mito na bahari. Theory hizi zimekuja ili kuaminisha watu kuwa hakuna mwisho wa dunia wala maisha yajayo, tuangalie tunavyolishwa na madhehebu ya dini na doctrine zake.hiyo jamaa ni mpotoshaji mkubwa, nahisi anatumika na watu/viumbe anvyovijua.. Mungu ni MUUMBAJI WA KILA UNACHOKIONA na usivyoviona... nimukumbushe jambo moja kifo ni matokeo ya Uasi, means kwamba kama dhambi isingeingia kifo kisingekuwepo..
rejea mwanzo 1;1-3, Mungu alitenga Nuru na giza, tatzo lako mkuu unajua kuwa Mungu aliumba hii dunia tu, jambo ambalo si kweli, soma vyema utajua kuwa kuna zaidi ya galaxy 100 ambazo Mungu aliziumba, bahati mbaya dunia yetu pekee ndo iliasi, na Mungu kwa mjib wa biblia alimtuma Yesu kuja kuukomboa huu ulimwengu..
ni vyema kabla ya kupost jambo jielimishe,uliza na kisha njoo jf ukiwa na swal siyo hoja za upotoshaji kama hzi..