Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Duh usafiri huo ni balaa.Hapa ni sasa hivi(Likasi) Town View attachment 748933View attachment 748934
Duh usafiri huo ni balaa.Hapa ni sasa hivi(Likasi) Town View attachment 748933View attachment 748934
Viagra.......nadhani umeelewa.vumbi la kongo ndio nini? au mnamaanisha ngada?
Mimi iko mukongo njoo pm ..merciiiNimetamani kuja kongo
Ukikutana na mkongo anayehitaji mke mpe namba yangu
Yupi tena?Mwana yule demu umeshamla au bado?
Normal kea upande wa Goma..Je, mkuu hali ya usalama ikoje huko?
Nikirudi nakuletea kilo moja.Nasisimka kusikia nyama ya umbwa
Wewe ni Mhehe?Nasisimka kusikia nyama ya umbwa
Mboga nzuri kweli.Hata Bongo wapo wanakula hao.
Hahaah yule ulikuwa unachat nayeYupi tena?
Sijui hao wanaokusalimia wewe ni wawapi vizuri ungewauliza wenyewe ungepata jibu la uhakika.wale wanaotusalimiaga **Salute* Fb ni wakongo?
Mkuu hii ni jf funguka zaidi Basbite hawezi kukukamataWanajua kukatika mauno yaani wao ni kucheza boringo asubuhi mpaka jioni, nimewahi kuuza madawa ya kulevya kongo enzi zangu nipo kijana mdogo maisha ya utafutaji
Usimtafutie mwenzako balaa...Mkuu hii ni jf funguka zaidi Basbite hawezi kukukamata
hahahahaha eti utakuwa na magonjwa ya moyo
Hakati tamaa anataka nimle.hahahahaha eti utakuwa na magonjwa ya moyo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Vumbi la congo hukuliona?