akisema condom zinamuwasha....mtego mwingine?
Unaaga kwenda kazini , mpenzi wako anasema usiende mpunzike kidogo
Mpo mezani ugenini unaambiwa mbona huli? Kula bhana kula bhana kula bhana na wewe unaongeza speed Kama umbwa aliyeshinda na cheni mchana kutwa akafunguliwa jioni
Wa hivi hayupo bhanaAkisema nataka nije tuishi/tukae wote na hujamuoa wala hujamtolea posa wala hujamtambulisha 😅👍🏾
Sema mama, sema chochote 😂Mdomo komaaaa
Aache kununua za buku bukuakisema condom zinamuwasha
🤣🤣🤣"Kula chakula... kula usiogope jiskie upo nyumban"mtego mmoja advanced sanaa...
Akisema nataka nije tuishi/tukae wote na hujamuoa wala hujamtolea posa wala hujamtambulisha 😅👍🏾
Wapo, kuna mmoja alitaka kuja kwangu kwa gia ya kutofurahia maisha ya nyumbani kwao, sio kua ni masikini, wako vizuri, majumba magari, sema anadai mzee hayupo karibu sana na wao zaidi ya huduma muhimu tu.Wa hivi hayupo bhana
Ila tumefika pabaya sana
Pesa hupati bika kazi.....hapo muhumu kazi.....kama unakimbilia pesa bila kazi jiandae kuuza inya.Namba 2 ni mtego.
Kazi na Pesa ni bora kuliko kitu chochote duniani, narudia Pesa ni bora sana.
KE au ME ?Aache kununua za buku buku