Vitu ambavyo sipendi

Vitu ambavyo sipendi

Halafu si unajua zetu mamon'goo shee njingapi haha kwa sauti kila mtu anaskia
umenichekesha nimebaki watu wananishangaa,,maana nimejaribu kuvuta picha ya iyo,,njingapi alafu kwa sauti kubwa
 
Mie vyote kama ulikuepo kwenye akili yangu haswa sim jamani sipendi mtu mmechat watsap mshamalizana then linakupigia watsap call ili iweje yani hamna kitu kinanipa hasira kama icho loh

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Sipendi boy anitoe out, alafu unaagiza lbd nikinywaji au chakula anaanza kuuliza bei Kwanzaa,
Sipendi unatoka out namwanaume ambaye humpendi una mchuna anaanza kukushika shika Mara mikono mabega kiuno kukutambulisha ovyooo kwa watu sipendi!!!

Sipendi unagegedana na mwanaume hajui hata romance yupo kama kuku.......

Sipendi kujichanganya kwenye makundi, vijigroup vya kike, marafiki wakike/wakiume sipendiii,

LA mwisho na kubwa zaidi

SIPENDI KUTONGOZWA ASEE NACHUKIA HII KITU
Hahahaaa! JF bhanaa
 
Inamaana hata mpenzi wako hautaki akakushika? Unayajua mahaba kweli?
Hayo mapenzi au ujinga, tunachafuliana CV tuu kesho tukizinguana tayari ulishanizibia bahati jana [emoji57]
Kila mtu ajitegemee kwenye kutembea hakuna anayesikia kizunguzungu useme atahitaji support ya mwenzie
 
Hayo mapenzi au ujinga, tunachafuliana CV tuu kesho tukizinguana tayari ulishanizibia bahati jana [emoji57]
Kila mtu ajitegemee kwenye kutembea hakuna anayesikia kizunguzungu useme atahitaji support ya mwenzie
Kumbe mind yako imejikita kwenye kuachana zaidi, kuliko kufikiria jinsi ya kupasua mabonde na milima na kuyafikisha mapenzi yenu to the eternal...
Why uwe na mawazo ya namna hiyo? Umejeruhiwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom