kuna siku moja chuoni nilivokuwa namtongoza demu, nilianza kumshika bega la kulia huku nikitazama macho yake kwa makini, nikaona "kisirisiri" ameyakunja macho kama vile amekereka (hakutaka mm nijue), nkaona hapa mmh hamna kitu, nikamwaga sera zangu anayway, akaniambia ana boyfriend so hawezi ku-date na watu 2 at same the time (kiukweli bf anae na huwa wanatembea wote in public)
Ila yote hiyo ilikuwa ni excuse tu, UKWELI NI KWAMBA ALIKUWA HAJAVUTIWA NA MIMI ila alijaribu ku-sugarcoat her reply
Jovitha