MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,086
Siku zote nikajidanganya eti wewe bado bikra... khaaa!
hahaha kekundu!
Siku zote nikajidanganya eti wewe bado bikra... khaaa!
Ngoja nije pm niweze kukubadilisha hicho cha mwisho usichokipendaSipendi boy anitoe out, alafu unaagiza lbd nikinywaji au chakula anaanza kuuliza bei Kwanzaa,
Sipendi unatoka out namwanaume ambaye humpendi una mchuna anaanza kukushika shika Mara mikono mabega kiuno kukutambulisha ovyooo kwa watu sipendi!!!
Sipendi unagegedana na mwanaume hajui hata romance yupo kama kuku.......
Sipendi kujichanganya kwenye makundi, vijigroup vya kike, marafiki wakike/wakiume sipendiii,
LA mwisho na kubwa zaidi
SIPENDI KUTONGOZWA ASEE NACHUKIA HII KITU
Hapo umeniuliza swali au umenisifu?Uwe unaandika ili ujibiwe vyema
Yalaahh tobaaaa!!!!?Nimetoka kukupanda wewe
Google upate jibuHapo umeniuliza swali au umenisifu?
Haya ushakunya?Haya uliyosema yatatusaidia nini ilihali hatujuani, upende usipende haiongezi wala haipunguzi chochote kwasababu hatujuani ata km tumepanga nyumba.
Kichwani kwako itakuwa kuna Empty setGoogle upate jibu
Si ndio maana tunafananaKichwani kwako itakuwa kuna Empty set
Povu la fomaSi ndio maana tunafanana
4:Kuleta mgeni home halafu nimpikie mimi, mgeni wako shughulika nae uliemleta.
2:Kupigiwa simu kuanzia saa 4, 5, 6, usiku, ulikuwa wapi kuanzia asubuhi saa 4 mpaka saa 1 jioni, dawa huwa sipokei labda iwe ya mama au mchuchu ninaemkubali, watu wengine hukurupuka aisee huwa nawatukana na kuwablock.
hapa tumefanana tabia6:Watu wanaonuka vikwapa, mdomo, jasho siwapendi aisee hua nakaa nao mbali na mimi, wachafu wachafu, sitaki kabisa, unakuta mdada kavaa vizuri anang'aa lakini kikwapa kinatema wakati deodorant 5000 tu shenzi kabisa.
kiongoz huyu yy sim kwingne tutamshika shika tuUkiachana na simu, ni kitu gani kingine ambacho kikishikwa shikwa huwa unachukia?
Viseme vyote plz
Mie sipendi tuongozane na mtu barabarani alafu awe amenishika mkono au bega aarg huwa nachukia sana [emoji57]1:Umelala home wengine sijui wamekosa usingizi wanataka muamke wote hapa ndipo hutamani niishi nyumba ya peke yangu, sipendi kuamshwa au kuongeleshwa ongeleshwa nikiwa nimelala.
2:Kupigiwa simu kuanzia saa 4, 5, 6, usiku, ulikuwa wapi kuanzia asubuhi saa 4 mpaka saa 1 jioni, dawa huwa sipokei labda iwe ya mama au mchuchu ninaemkubali, watu wengine hukurupuka aisee huwa nawatukana na kuwablock.
3: Sipendi mtu ashike simu yangu, kushikiana shikiana vitu bila kuniomba sipendi.
4:Kuleta mgeni home halafu nimpikie mimi, mgeni wako shughulika nae uliemleta.
5:Tumekutana tu sehemu unataka namba za simu hata hujanifurahisha kwa chochote, sipendi.
6:Watu wanaonuka vikwapa, mdomo, jasho siwapendi aisee hua nakaa nao mbali na mimi, wachafu wachafu, sitaki kabisa, unakuta mdada kavaa vizuri anang'aa lakini kikwapa kinatema wakati deodorant 5000 tu shenzi kabisa.
7:Watu ambao hawanitafuti halafu niwatafute mimi tu nishafuta kabisa.
8:Wazee ambao mnapenda vibinti siwapendi aisee maana mna presha, kisukari mtatufia vyumbani kaeni mbali mkae na wake zenu sisi bado damu inachemka moto wetu sio wa nchi hii, mtuache tukimbizane na rika letu.
Vingine ongezea nawe ambavyo hupendi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole yakoSiku zote nikajidanganya eti wewe bado bikra... khaaa!
Si ndiyo hapoHahaha limtu linakutambulisha kila sehemu wqkati we unafanya siri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kungwi!???mbona unaonekana ni kungwi kabisa?
aya njoo pm chap