Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Haha.Sipendi boy anitoe out, alafu unaagiza lbd nikinywaji au chakula anaanza kuuliza bei Kwanzaa,
Sipendi unatoka out namwanaume ambaye humpendi una mchuna anaanza kukushika shika Mara mikono mabega kiuno kukutambulisha ovyooo kwa watu sipendi!!!
Sipendi unagegedana na mwanaume hajui hata romance yupo kama kuku.......
Sipendi kujichanganya kwenye makundi, vijigroup vya kike, marafiki wakike/wakiume sipendiii,
LA mwisho na kubwa zaidi
SIPENDI KUTONGOZWA ASEE NACHUKIA HII KITU
Hahaha umenichekesha balaa.
Wali maharage shingapi. Eti hapa Heineken shingap? [emoji3][emoji3].