Vitu ambavyo sipendi

Vitu ambavyo sipendi

Sio ubabe Daby
Tatizo lenu mnatutibua sana sasahivi tumeshashtuka hayo mapenzi tuwaachie wahindi tuu kwa bongo huo ni upuuzi.
Sasa sisi tusiowatibua mapenzi yetu tuyapeleke wapi kama mmetuunganisha na wanaowatibua.

Ngozi nyeupe hazina msisimko bwana msifanye hivyo
 
Kumbe mind yako imejikita kwenye kuachana zaidi, kuliko kufikiria jinsi ya kupasua mabonde na milima na kuyafikisha mapenzi yenu to the eternal...
Why uwe na mawazo ya namna hiyo? Umejeruhiwa?
Lazima uwe na fikra zaidi ya moja.
Ukiwa na fikra moja tuu maana yake ukitendwa lazma ufe, sasa ya nini kukatisha uhai wako wakati maisha matamu.
 
Embu usizungumzie hizo habari za mautamu banah, sasa tusipoandaana si tutabakana?
Swala ni kwamba sitaki kushikwa mkono barabarani
Alafu kuna kitu nimegundua(nitakwambia baadae)
ila kwasasa nijibu swali hili,
kipi unachofurahia pale mpenzi wako anapokufanyia hadharani?
 
Lazima uwe na fikra zaidi ya moja.
Ukiwa na fikra moja tuu maana yake ukitendwa lazma ufe, sasa ya nini kukatisha uhai wako wakati maisha matamu.
Do you believe in soulmate?
(pole kwa yaliyokukuta)
 
Alafu kuna kitu nimegundua(nitakwambia baadae)
ila kwasasa nijibu swali hili,
kipi unachofurahia pale mpenzi wako anapokufanyia hadharani?
Akinionyesha tabasamu lake hapo mimi naridhika balaah
 
1:Umelala home wengine sijui wamekosa usingizi wanataka muamke wote hapa ndipo hutamani niishi nyumba ya peke yangu, sipendi kuamshwa au kuongeleshwa ongeleshwa nikiwa nimelala.

2:Kupigiwa simu kuanzia saa 4, 5, 6, usiku, ulikuwa wapi kuanzia asubuhi saa 4 mpaka saa 1 jioni, dawa huwa sipokei labda iwe ya mama au mchuchu ninaemkubali, watu wengine hukurupuka aisee huwa nawatukana na kuwablock.

3: Sipendi mtu ashike simu yangu, kushikiana shikiana vitu bila kuniomba sipendi.

4:Kuleta mgeni home halafu nimpikie mimi, mgeni wako shughulika nae uliemleta.

5:Tumekutana tu sehemu unataka namba za simu hata hujanifurahisha kwa chochote, sipendi.

6:Watu wanaonuka vikwapa, mdomo, jasho siwapendi aisee hua nakaa nao mbali na mimi, wachafu wachafu, sitaki kabisa, unakuta mdada kavaa vizuri anang'aa lakini kikwapa kinatema wakati deodorant 5000 tu shenzi kabisa.

7:Watu ambao hawanitafuti halafu niwatafute mimi tu nishafuta kabisa.

8:Wazee ambao mnapenda vibinti siwapendi aisee maana mna presha, kisukari mtatufia vyumbani kaeni mbali mkae na wake zenu sisi bado damu inachemka moto wetu sio wa nchi hii, mtuache tukimbizane na rika letu.

Vingine ongezea nawe ambavyo hupendi.
Mkuu we ni ke au me?
 
2a01ab22ae5797fcdb70d0b9a71d578c.jpg
 
Hiyo namba 4 imekaaje sasa!!!! yaani mgeni kaja nyumbani/mmeo kaja naye unataka huyo aliyekuja naye apike!!!
 
Mimi sipendi mtu anayesema mambo tusiyoyapenda

Sent from my SM-G130HN using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom