Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

Wanaweza kuwa na wanaume wengi wa nje ya ndoa kuliko wanaume kuwa na wanawake wa nje ya ndoa.
 
Inabidi mwanamke amnase vibao aisee, mwanaume kulia? tena kwenye mapenzi? Aisee JF kuna mambo

Hebu nisaidieni, huwa wanaliaje? huwa wanatoa sauti? ni maneno gani wanatoaga wakati wa kulia? Aisee!!!

kuwa uyaone..
 
Kweli kabisa mkuu. Ila mwanaume ukipenda dezo utalipaje?

Atalipa kama anvolipa mwanamke. Tena skuizi wanaume wapenda dezo wamejaa kibao,yaan wako special kwa ajili ya kuhongwa na kutoa huduma. Wanajina lao special,wanaitwa ma MALIOO.
 
Atalipa kama anvolipa mwanamke. Tena skuizi wanaume wapenda dezo wamejaa kibao,yaan wako special kwa ajili ya kuhongwa na kutoa huduma. Wanajina lao special,wanaitwa ma MALIOO.


Magigolo...


The effects of globalisation
 
wanauwezo wa kutokuwa na sifa 10 ulizozitaja kama wana ---timing zao---
 
Back
Top Bottom