Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,236
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani Nimeisahau...

SOURCE: These are not my words, but from FB. However, I would like to share with you.

My take: kwa kiasi kikubwa, vitu hivi ni vya kweli!
 
Waoh verry true......in adition we av a power to laugh n smile even our hearts r burning inside
 
hiyo no 7 na 8 mnhhhh

Ni kweli kabisa wala usitie shaka. Kwenye kupenda bila kufanya kazi yoyote ni sahihi kabisa, wanawake wangapi wamefungiwa kwenye magate wanaletewa kila kitu bila wao kujishughulisha na lolote.

Kwenye kutoka out; vitu vingine kama nguo, viatu nk anaweza akaazima lakini nyele na kucha ni ngumu kuviazima ndo maana huvifikiria kwanza.
 
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani Nimeisahau...

SOURCE: These are not my words, but from FB. However, I would like to share with you.

My take: kwa kiasi kikubwa, vitu hivi ni vya kweli!

Hapo red kwangu wamegonga mwamba...
 
Nyongeza ...
Ni waongo sana kwa vitu vingi;
Wana uwezo wa kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja mf. anapika, anafua, ananyonyesha mtoto. Mfano mwingine, yuko kwenye starehe, analia

NI kweli kabisa, kuna wengine sio wa kuwaaamini kabisa.
Kweli kabisa, wanafanya kazi nyingi kama majembe.
 
Wanaongea maneno mengi kwa siku kuliko wanaume, hii inafanya wawe wambeya na kupenda kusoma magazeti ya udaku.
 
Back
Top Bottom