Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

KAma na huyu hajakubadilisha basi wewe sikuwezi tena

Ndo maana nikasema basi inaelekea sikamatiki.. au sipendagi... maana kabla sijaoa nilishakuwa nao sita... huyu mke ni wa saba, na bado sikubadilishwa...
 
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani Nimeisahau...

SOURCE: These are not my words, but from FB. However, I would like to share with you.

My take: kwa kiasi kikubwa, vitu hivi ni vya kweli!
Wana hips zinazovutia zaidi ya zile za wanaume
Ngozi yao ya usoni huwa nyororo zaidi
huchelewa kufika kileleni wakati wa kudu
 
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.[/B]10. Nipe Nyingine Unayodhani Nimeisahau...

SOURCE: These are not my words, but from FB. However, I would like to share with you.

My take: kwa kiasi kikubwa, vitu hivi ni vya kweli!





Number 9 ni kweli tupu,nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu.
 
Namba 5 haina ukweli kwa kiasi kikubwa bhana!labda vijitbia visivyo vya lazima kwake
 
Wanawake wanaongoza kutopendana wenyewe kwa wenyewe.
Mwanamke akiwa bosi basi wanawake wengine watakoma!

Wanawake wenyewe ni mashuhuda!
 
Wanawake wanaongoza kutopendana wenyewe kwa wenyewe.
Mwanamke akiwa bosi basi wanawake wengine watakoma!

Wanawake wenyewe ni mashuhuda!

yah upo sahihi kwa hilo. Nmeliona wakati nafanya kazi ingawa sehemu zingine wasichana wanapendana vizuri tu.
 
10.Wana uwezo wa kuliwa na zaidi ya mwanaume mmoja kwa kwa siku kwani halua haina makombo.:A S 101:
 
Wana hips zinazovutia zaidi ya zile za wanaume
Ngozi yao ya usoni huwa nyororo zaidi
huchelewa kufika kileleni wakati wa kudu



Hapo kwenye bold: Kuna wengine hata hujamaliza kuingiza ameshafika kilele!
 
10.Wana uwezo wa kuliwa na zaidi ya mwanaume mmoja kwa kwa siku kwani halua haina makombo.:A S 101:

Kweli haina shombo Mkuu, ingawa kuna wanaume wengine wanaweza kula zaidi ya mmmoja kwa siku.
 
Ndio wanaojaa kwenye

1) Makanisa
2) kwa waganga
3) Misibani
4) Hospitalini
 
Wanauwezo wa kutoka Nje ya ndoa muda mrefu bila mume kujua
 
Back
Top Bottom