Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...! Je kweli??????

One thing wrong in her,,she smtyms 4get dat she is worth..praise in her personality in every shape as a mother..a wife..a teacher in every sector..a daughter..a sister n a friend as well......u can break down a woman temporarity but a rl woman will always pick up da pieces,,rebuild herself n come back even stronger dan EVER
 
kwa kweli hapa umenikunikuna hasa na 5 na 6 yani acha tu ila kitu umesahau ni wepesi wa kugombana na kusameheana
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10. Nipe Nyingine Unayodhani Nimeisahau...

SOURCE: These are not my words, but from FB. However, I would like to share with you.

My take: kwa kiasi kikubwa, vitu hivi ni vya kweli!
 
Its tru myfriend. Mpaka mwanamke inabid atoe macho tena kumshangaa!!!

Inabidi mwanamke amnase vibao aisee, mwanaume kulia? tena kwenye mapenzi? Aisee JF kuna mambo

Hebu nisaidieni, huwa wanaliaje? huwa wanatoa sauti? ni maneno gani wanatoaga wakati wa kulia? Aisee!!!
 
Ndo maana nikasema basi inaelekea sikamatiki.. au sipendagi... maana kabla sijaoa nilishakuwa nao sita... huyu mke ni wa saba, na bado sikubadilishwa...


Mkuu kidume sana wewe....
 
Nyongeza ...
Ni waongo sana kwa vitu vingi;
Wana uwezo wa kufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja mf. anapika, anafua, ananyonyesha mtoto. Mfano mwingine, yuko kwenye starehe, analia
Hahaa.. Nimeipenda us mwisho..
 
jambo lingine, inasadikika wanawake wanaongoza kwa kuchukiana wenyewe kwa wenyewe. hii unasemaje mkuu?

Sana, adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe.
sisi tunajifaidia tu wakigombana
 
Back
Top Bottom