Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,236
- Thread starter
- #21
Wanaongea maneno mengi kwa siku kuliko wanaume, hii inafanya wawe wambeya na kupenda kusoma magazeti ya udaku.
Ila kuna wanaume wengine nao ni wambaye sana, wanawazidi hata wanawake.....