Vitoto vya 2000 michosho sana

Vitoto vya 2000 michosho sana

Itoshe kusema mdogo wetu una GUBU.

Sijaona sababu ya msingi iliyopelekea wewe kumtafuta na kumwambia maneno kama hayo, ili hali hakukulazimisha bali ulifanya kwa kupenda kabisa.
Duuh gubu kiongoz yaan situation hata ingekukuta wew lazma ungechukia namna mtu alivyoi direct kweny maongez yake
 
Sababu uliyotoa ni ya kawaida sana.

Kama ungeamua kukaa kimya tu, pengine yeye ndiye ungemuacha na maswali, na angelazimika hata kukutafuta kukuomba radhi kwa kuhisi labda amekukosea.
 
Nope kukaa kimya ni jibu ila Kwa Sasa huwa sipendelei namwambia ukwel Kisha naendelea na maisha yangu
 
Swali la kujiuliza, kulikuwa na ulazima gani?

Hauoni kama umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwake?

Kumind vitu vidogo vidogo huenda ni dalili kuwa una akili sana au hauna akili kabisa.
 
Yote kheri hapo siwez jali ila kaboa
 
Back
Top Bottom