Changamoto ya 2021 inayonitesa mpaka leo

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
May 30, 2021
333
671
Wakubwa kwa wadogo habari zenu, heri ya mwaka mpya. Leo naomba kushare na ninyi changamoto ninayo pitia, nafahamu kila mtu amepitia changamoto yake hivyo kupitia ushauri wenu naimani nitasimama tena.

Mwaka 2021 ni mwaka ambao ulikua mbaya sana kwangu kwangu ndio mwaka ambao nimeanguka kiuchumi, nilikua na ofisi yangu (biashara) ya huduma za kifedha mkoani, ofisi ile iliyumba kutokana na kushambuliwa na vibaka (wezi) kuniibia bidhaa zangu hata kupelekea kumuua mlizi wa eneo letu pale madukani (R.I.P mlinzi wetu), kukosea kutuma pesa mihamala ya fedha kubwa bila kuokoa hata sent moja vile vile ujio wa tozo mpya.

Nilijikuta naanza kuyumba taratibu, tukio la kuibiwa la mwisho ambalo walimuua mlinzi wetu lilitokea mwaka Jana mwezi wa 8 baada ya tukuo Hilo mm nilienda nyumbani kwa wazazi kata ya jirani na mie tukakaa tukakubaliana kua eneo Hilo nihame ki biashara lakini pia ikiwezekana nibadiri aina ya biashara, makubaliano haya yalichambua matukio yote 5 ya kuibiwa tangu mwaka 2019 nilipo fungua ofisi pamoja na changamoto zingine.

Nilitoka nyumbani nikiwa natafakari wazo la biashara ambalo ni Bora, kuna idea nilipata ni nzuri sana ila changamoto skua na vibari na ili uifanye Hiyo biashara kwa njia halali unatakiwa uwe na pesa zaidi ya 20 milion naiweka wazi ni (biashara ya kukopesha-microcredity/microfinance) hivyo nikapiga chini wazo hili japo kua kuna jamaa mmoja aliifanya kinyemera ikakua mpaka akafungua kampuni (halali)na anaendelea nayo vizuri tu, alinishauri nianze na mtaji nilio nao ila changamoto ikawa Sina mtu wa kunisaidia kazi.

Turudi nyuma mpaka Mwezi March 2021 ilikua ni safari yangu ta Kwanza kuja dar, nilifikia kwa Rafiki angu ambae nilisoma, nilimshirikisha safari yangu na akanipokea kwa mikono miwili, nilikuja dar kujifunza tu na nilikaa wiki moja na nusu nikarudi zangu home. Niwe mkweli nilipapenda dar kutokana na wingi wa watu na uchangamfu wa biashara palinivutia sana, nilipo Rudi nyumbani niliona ni sehemu iliyo poa sana.

Twendelee.. Nilianza kutafuta sehemu kwanza ambayo ningehamia kwakua mkoa huo mm ni mzawa hivyo nilichukulia zile changamoto za kuibiwa kama wivu wa vijana wenzangu nikaona njia Bora nihame mji.

Nikiwa katika tafakuri nzito za kitafuta mji ambao umekaa kibiashara akili yangu ilivutiwa na mji wa dar hivyo nilipanga safari ya kuja dar rasmi kwa ajili ya utafutaji.

Skupenda kufikia kwa ndugu, nilimshirikisha Rafiki angu pia aliafiki kunipa hifadhi kwa siku hizo ambazo nilikua natafuta chumba cha biashara Safari ikaanza mpaka mbezi dar es salaam.

Nilifika Mbezi usiku wa saa 4, mwenyeji wangu hakuwepo akanielekeza daradara za kupanda mpaka kufika magetoni, kwakua niliwahi kufika dar awali nilijitahidi nikafika mpaka magetoni, usiku huo nililala njaa kwakua Rafiki angu nilikuta hajaandaa msosi asubuhi ndo nikagundua Rafiki angu hakuwa na Chakula wala pesa hata sent 0 nika solve Hiyo tuaanza kupika.

Nilikaa wiki moja bila mafanikio ya kupata sehem ya biashara kwani plan zangu ilikua ni kupata kibanda cha uwakala, nikakutana na seke seke la wamachinga ikabidi nisikilizie. Upande wa pili kwa jamaa yangu akanambia kua dem wake kampigia sm kamforce na anataka aje nikamwambia wewe umemjibuje? Jamaa akasema mm nimemwa bia asubiri nikasema sawa.

Ilikata kama wiki jamaa akapata ka deal flan iv ka kupiga kwa siku 5 malipo 390k ilikua inshu ya research.. jamaa kalipwa nusu pesa 195k anakunua chakula, jamaa alianza kunihusisha inshu ya ujio wa dem wake nikaona isiwe kesi nikamwambuia mruhusu aje tu wakati huo Sina ramani.

Nilipata frem Kimara suka hiyo frem niliipenda kwa ukubwa kwakua skua na namna niliona naweza kuigawa nikaanza kuishi humo humo, kosa nililo fanya sikuzingatia vitu muhimu ki biashara ikiwa ni pamoja na site.

Siku niliyo lipia frem ndiyo siku dem wa jamaa anakuja, nakumbuka tulipotoka kulipia mchana hatukua tumekula chochote, tulirudi nyumbani mchana jamaa akanunua tambi,nyanya na mafuta nikajua tunaenda kupika hata mgeni akifika akute Chakula tayari unfortunately haikua hivyo vyakula vilitunzwa mpka saa 11 jioni.
Nikiwa nimejawa na mawazo Sina pa kwenda Sina uenyeji kwenye mji huu mala ghafla jamaa akiwa mwenye furaha akaniambia oya mwanangu mgeni amefika nimemtuma Boda akamfate nikatabasamu tu.

Nilisubiri mgeni akafiaka tukafahamiana Kisha nikaaga kuondoka, nilitoweka mazingira yale nikaenda ubungo sehem Moja iv kuna nzee mmoja anauza mihogo nikachukua ya 500 nikala pale na maji ya 500 huku nikisubiru hukumu ya usiku huo wa kwanza ambao skujua nitalala wapi.

Nimiwaza sana nikasema kimoyo moyo, hakuna sehemu nyingine niliyo na mamlaka nayo kwasasa isipokua kwenye ile frem niliyo ilipia, nikapanda gari kutoka SIM 2000 mpaka kimara suka, suka mpaka site nikifika usiku wa saa 5 nikalivuta limlango lile la bati likapiga kerere gwararaaaa, nikazama ndani ya geto, skua na godoro Wala nini ila nilikua tayari kutumikia adhabu za mbu na joto la dar + kulala chini, bahati nzuri Dogo mmoja iv akaja kuangalia nani anafungua akakuta ni mie akanionea huruma akanambia braza njoo ulale kuna geto la Mshikaji katoka kaenda Zanzibar, usiku huo nikalala.

Niliitengezea frem nikanunua fridge+meza+mzani wa mawe kwa ajili ya duka siku chache mbele nikafungua duka kwa mauzo hafifu sana...hata sasa wastani wa mauzo hauridhishii bado sjaona mwanga katika safari yangu ya utafutaji ndani ya huu mji Kodi yangu inaisha mwezi wa 3.

Kinacho nitesa kwa sasa ndugu zangu ni hiki. Biashara nilifungua mwezi wa 10 tarehe moja, niliamua kulala ndani ya frem skununua godoro nilichukua ma box flan iv makubwa nikayafanya godoro mpaka sasa nalalia ma box. Mwenendo wa biashara ni taratibu sana hii imetokana na kuto kuzingatia eneo la biashara kwakua walio nizunguka ni watu wa kishua vitu vyao wananunua kwenye maduka ya jumla hata hivyo nimejifunza Mambo mengi sana katika safari yangu hii ya kibiashara na kijamii.

Mwenzenu nipo napata joto la jiwe ni mwezi wa tatu sjalala kwenye godoro, uchumi umeporomoka japo kua kila siku nawaza namna ya kujinasua kwenye changamoto hii, nikitafakari niliko toka na Maisha yangu kabla ya anguko langu la uchumi na naisha yangu ya sasa naumia sana sana.

Wadau na mabibi kwa mabwana mliomo humu umaskini ni mbaya sana, umaskini ni Raana unayo weza kuikimbia, nimejifunza mengi na bado ninajifunza, karibu kwa ushauri wadau kama una connection ya hata ya kazi pia ntashukuru. Nakukaribisha pia pm kwa ushauri na msaada wowote ule.

Imani siku moja nitaandika kitabu katika Yale niliyo jifunza niwafunze na wenzangu.

Asanteni
 
Taratibu mambo yatajipa.
 
FB_IMG_16410558772751337.jpg
 
Kosa kubwa sana unalofanya ni kutumia muda mwingi kujihukumu. Kujiona mkosaji, kujiona maskini, kujiona hufai, kujiona umekosea lakini unasahau kitu kimoja. BADO unaweza kubadilisha hiyo ali kwa kuchukua hatua yenye tija zaidi hata kama ni ya maumivu.

Tafuta eneo lingine la biashara uhame. Hata kama ni mkoani hamia huko.
 
Kwa vile umegundua sehemu uliyofungua biashara siyo rafiki, basi tafuta madalali wakutafutie mahali penye msongamano wa watu huko huko mtaani, maana mjini kati kodi ya fremu ni kubwa kiasi. Biashara zote zinalipa hakuna biashara ambayo hailipi.
 
mkuu dar pagumu kama mtaji na mazingira hayakuruhusu utapoteza muda ,jaribu mikoa mingine kama mbeya,mwanza,geita anza upya
 
Kosa kubwa sana unalofanya ni kutumia muda mwingi kujihukumu. Kujiona mkosaji, kujiona maskini, kujiona hufai, kujiona umekosea lakini unasahau kitu kimoja. BADO unaweza kubadilisha hiyo ali kwa kuchukua hatua yenye tija zaidi hata kama ni ya maumivu.

Tafuta eneo lingine la biashara uhame. Hata kama ni mkoani hamia huko.
"Tafuta eneo moja uhame hata kama ni mkoani hamia huko" Asante sana mkuu kwa maoni yako kwako wewe ungependekeza mkoa gani na eneo gani nihamie ambalo unaona limechangamka ki biashara? Maana kuna mikoa mingine naskia ni migumu sana ki biashara pia kuna mikoa mingine wanafanya biashaea kwa kujuana sana.

*Sjajihukumu ila nimekubari nilipo kosea na nipo tayari kuanza upya unapo. Unapo ona nimejihukumu ujie ni sehemu niliyo fanta makosa .
 
Geita napafaham ni pagumu sana ila gharama za Maisha zipo chini, nitaangalia kati ya mwanza na Mbeya mkuu. Asante sana.
 
Kwa vile umegundua sehemu uliyofungua biashara siyo rafiki, basi tafuta madalali wakutafutie mahali penye msongamano wa watu huko huko mtaani, maana mjini kati kodi ya fremu ni kubwa kiasi. Biashara zote zinalipa hakuna biashara ambayo hailipi.
Nqwaza kwa sauti je? Pesa ya kuhama na kupata mahala pengine anazo? Maana naona kama amekata Tamara ivi
 
Kwasasa Nina akiba isiyozid 200k unless otherwise niuze kila kitu ndo nipate pesa ya kuhama, kwasasa naona njia Bora ni kujipambania tu ndo maana nimeomba mchongo wowote ule iwe wa kazi au biashara nipige ili nijikwamue hapa nilipo.
 
Mkuu pole sana ila usikate tamaa pambana ukiona vp rudi mkoani dar kwa sasa ni pagum sana kibiashara ushindani upo juu purchasing power imeshuka watu wanabana matumizi wananua vitu kwa jumla zaidi jaribu kwenda uswahilini kidogo hamia kimara vinane kule au ingia ndani ubungo msewe apo uangalie mazingira
 
Asante sana mkuu, ntaufanyia kazi huu ushauri.
 
Mimi nakushauri changanya na vitu vya sokoni kama nyanya, vitunguu, viazi na vitu vingine. Utakuja nishukuru
 
Back
Top Bottom