Baada ya engagement ring mwenzenu nimemegewa

Pierre III

Member
Jun 1, 2010
34
0
Heshima zenu wote wana JF.

Hii ni story ya kweli. Jamani naomba ushauri kwa sababu mwenzenu nimechanganyikiwa. Nina mchumba wangu ambaye nimefahamiana takribani miaka miwil sasa. Miezi sita ilopita niliamua kutangaza nia ya kweli na kumfisha engagement ring tena mbele ya wanafamilia wote. Tlikua tunapendana sana. Katika harakati za kujiendeleza kimasomo, nlipata nafasi kwenda chuo kwa ajili kuchukua degree ya pili (masters). Na mchumba wangu naye akawa amepata chuo mkoa tofauti na wa kwangu. zengwe limeanza tukiwa likizo wote nyumbani. my wife to be amekuja nyumbani kwangu mida ya saa kumi na mja jion kama kaida yake alikua amependeza sana. Kapika msosi tukala. Yeye amepanga nyumba yake mbali na nyumbani kwao. Ghafla akaniambia, "honey unajua mamangu amekuja kunisalimia kwa maana hio ntaondoka muda sio mrefu kwenda kumuandalia chakula" Nkamwambia, hamna noma baby, nkamsindikiza kisha nkarudi home kwangu kuangalia TV. Tuna mazoae ya kupigianapigiana simu. Siku hio ikawa tofauti kwani hata mawasiliano hayakua smooth as usual, nkamuuliza swiry what are u exactly doin? kaniambia "whatching TV HONEY" Nkamuuliza which channel? Akaniambia "TBC). Kwa vile nlikua naangalia the same channel nkamuuliza anaaangalia nini. Hakujibu mara kigugumizi. Siku hio sikupata hata tone la usingizi. Ilipofika saa kumi na nusu alfajiri, nkachukua gari kwenda nyumbani kwake. Nlipofika getini kwake nkampigia simu kua niko nje aje anifungulie kuna issue muhimu sana nataka nimwambie. Akagoma kua hafungui kwa vile mamake yupo. Nkampigia mdogo wake aje anifungulie naye akakataa. Kwa vile mama mkwe mtarajiwa ananifahamu na ananiamini nkajua yeye sio tatizo la kutofunguliwa. Ok nkamwita atoke nje bila kunifungulia akagoma. Hapo ilikua inakaribia saa kumi na moja unusu. Nikamwambia kua sitoki getin kwake hadi asubuhi ili niweze kuonana naye. Baadae akazima simu yake. Ilipofika saa mbili akawa amewasha simu yake, nkamwambia bado niko getini namsubiria. Alivyoskia niko serious, akaniambia ukweli kua hayuko nyumban na hakulaa nyumbani kwake. Ni kweli hakulala kwake na sio kweli kua mamake alikua amemtembelea. I proved that beyond doubt. Nkaondoka zangu nyumbani nikiwa nimechanganyikiwa ile mbaya. Jioni yake akaja kwangu for reconciliation. Siku hio akanidanganya, nikamfukuza haraka kutoka kwangu na makofi na buti juu. The next day she came and told me nothing but the truth kua alikua na alilala kwa mshikaji (gentleman) ambaye wanafanya kazi pamoja (I know this guy). She apologized. Nkajifanya nmemsamehe ila kichwani nlikua nmeshamdelete. Badae akarudi chuoni, baada ya wiki tatu hivi akaniambia kua ana uja uzito wangu. Nlichomwambia ni kua siutambui huo uja uzito labda aende kwa jamaa yake(mwizi) ndo kamtia hio mimba. Honestly, am heartbroken na simtaki na wala simpendi tena huyu dada. She still instists that am the father hadi anakwenda nyumban kwetu kuambia kua she is expecting my baby. Sijamwambia ndugu yangu yeyote about this saga.

Je niwambie ndugu zangu na marafiki zangu wa karibu full story juu ya huyu mdada? nyumban kwetu anakubalika sana. Ntashukuru sana kwa ushauri wenu
 
mmh pole
sasa ivi tu mapema just pete ashaanza kuipeleka nje...afta 5yrs hali itakuwaje?
uyo kunguru ndg yangu tena kunguru kilaza kashindwa ata kujipanga vyema ili usimfume..
achana nae ..vuta subira utampata mwngne

MUNGU KAKUONYESHEA UKWELI ...utakuwa mkaidi ukikataa ukweli ambao mungu ashakuonyeshea yatayokuja kutokea mbelen
---hana ujauzito uyo ni kashda tu katika kukufanya umwonee huruma baada ya kuona hauna dalili ya kumsamehe..
---waambie ndg na jamaa zako ukweli woote wasje wakaendelea kumwona mtakatifu kumbe ni kamiss devil tu
--ni pm nikwambie mengneyo kwa kirefu
pole sana ndg yangu
muombe mungu na nakuombea mungu akuasaidie katika kipnd iki kigumu...
pole
 
Hapo hakuna reconciliation kaka umeshaamua kuachana nae usirudi nyuma one mistake one goal. Ukiwa vitani huwa wanaseme "Don't shoot the gun just to hear the bang one bullet one man". No return kaka. Huyo sio mwaminifu kabisa atakuletea maradhi bure jikalie zako mbali. Ushauri tu lakini
 
Pole sana Pierre la msingi acha mtoto azaliwe umpime DNA kama wako itabidi umtunze ...ila huyo mwanadada hakufai
 
Ahha jamani hili ni kawaida sana huwa linatokea sana
Usijali tulia na chukua hatua za kisheria. Mpige kibuti hakufai ataja endelea baadaye
 
Heshima zenu wote wana JF.

Hii ni story ya kweli. Jamani naomba ushauri kwa sababu mwenzenu nimechanganyikiwa. Nina mchumba wangu ambaye nimefahamiana takribani miaka miwil sasa. Miezi sita ilopita niliamua kutangaza nia ya kweli na kumfisha engagement ring tena mbele ya wanafamilia wote. Tlikua tunapendana sana. Katika harakati za kujiendeleza kimasomo, nlipata nafasi kwenda chuo kwa ajili kuchukua degree ya pili (masters). Na mchumba wangu naye akawa amepata chuo mkoa tofauti na wa kwangu. zengwe limeanza tukiwa likizo wote nyumbani. my wife to be amekuja nyumbani kwangu mida ya saa kumi na mja jion kama kaida yake alikua amependeza sana. Kapika msosi tukala. Yeye amepanga nyumba yake mbali na nyumbani kwao. Ghafla akaniambia, "honey unajua mamangu amekuja kunisalimia kwa maana hio ntaondoka muda sio mrefu kwenda kumuandalia chakula" Nkamwambia, hamna noma baby, nkamsindikiza kisha nkarudi home kwangu kuangalia TV. Tuna mazoae ya kupigianapigiana simu. Siku hio ikawa tofauti kwani hata mawasiliano hayakua smooth as usual, nkamuuliza swiry what are u exactly doin? kaniambia "whatching TV HONEY" Nkamuuliza which channel? Akaniambia "TBC). Kwa vile nlikua naangalia the same channel nkamuuliza anaaangalia nini. Hakujibu mara kigugumizi. Siku hio sikupata hata tone la usingizi. Ilipofika saa kumi na nusu alfajiri, nkachukua gari kwenda nyumbani kwake. Nlipofika getini kwake nkampigia simu kua niko nje aje anifungulie kuna issue muhimu sana nataka nimwambie. Akagoma kua hafungui kwa vile mamake yupo. Nkampigia mdogo wake aje anifungulie naye akakataa. Kwa vile mama mkwe mtarajiwa ananifahamu na ananiamini nkajua yeye sio tatizo la kutofunguliwa. Ok nkamwita atoke nje bila kunifungulia akagoma. Hapo ilikua inakaribia saa kumi na moja unusu. Nikamwambia kua sitoki getin kwake hadi asubuhi ili niweze kuonana naye. Baadae akazima simu yake. Ilipofika saa mbili akawa amewasha simu yake, nkamwambia bado niko getini namsubiria. Alivyoskia niko serious, akaniambia ukweli kua hayuko nyumban na hakulaa nyumbani kwake. Ni kweli hakulala kwake na sio kweli kua mamake alikua amemtembelea. I proved that beyond doubt. Nkaondoka zangu nyumbani nikiwa nimechanganyikiwa ile mbaya. Jioni yake akaja kwangu for reconciliation. Siku hio akanidanganya, nikamfukuza haraka kutoka kwangu na makofi na buti juu. The next day she came and told me nothing but the truth kua alikua na alilala kwa mshikaji (gentleman) ambaye wanafanya kazi pamoja (I know this guy). She apologized. Nkajifanya nmemsamehe ila kichwani nlikua nmeshamdelete. Badae akarudi chuoni, baada ya wiki tatu hivi akaniambia kua ana uja uzito wangu. Nlichomwambia ni kua siutambui huo uja uzito labda aende kwa jamaa yake(mwizi) ndo kamtia hio mimba. Honestly, am heartbroken na simtaki na wala simpendi tena huyu dada. She still instists that am the father hadi anakwenda nyumban kwetu kuambia kua she is expecting my baby. Sijamwambia ndugu yangu yeyote about this saga.

Je niwambie ndugu zangu na marafiki zangu wa karibu full story juu ya huyu mdada? nyumban kwetu anakubalika sana. Ntashukuru sana kwa ushauri wenu

Ukiendelea nae tegemea adhabu kali katika maisha yako zaidi ya kukaa kwenye geti bila kufunguliwa kwa hayo masaa uliosema. Achana naye kabisa. She is a shit.
 
Ukiendelea nae tegemea adhabu kali katika maisha yako zaidi ya kukaa kwenye geti bila kufunguliwa kwa hayo masaa uliosema. Achana naye kabisa. She is a shit.
Inawezekana hakuwa wa kawaida ila ni Changudoa, au ana pepo wa ngono. Ka siyo basi si mwaminifu na ujue huyo jamaa lazima ataendelea naye tu, sasa inamaana hana wengine?
 
vipi ulishamega? au ulikuwa unasubiri uoe kwanza?
kama ulikuwa unamega cha kwanza ni kwenda angaza ujue status yako, kama uko shwari inabidi uvute punzi kubwa kabisa ya kutua mzigo
Kuhusu hiyo mimba si simple tu, jaribu kuangalia hiyo mimba ina muda gani na jaribu kuangalia kama kuna possibility ya wewe kuwa mwenye mimba,
Kuhusu mtoto, kama ulivyowaita ndugu zako na wake siku ya kumvalisha pete, inabidi uwaite tena wazazi wake na wako na uwape kitu cheupe, lakini pia kuwa safe side lazima uwaaambie kuwa mtoto akizaliwa DNA lazima ifanyike na baada ya hapo kama ni wako utamlea/au utatoa matumizi, lakini kama sio wako basi huyo mchumba wako akamtafute baba ya mtoto

mwisho kabisa na mimi nakupa pole kwa yaliyokukuta, hiyo kitu ombea isikukute shughuli yake ni pevu, anyway kitu kizuri kabisa ulichokifanya ni hiki cha kushare na watu, yaani hii ndio dawa ya broken hearts, nina uhakika utapata ushauri mzuri mno, kwa maana haya unayoyaongea sio mageni, yameshawatokea watu na wameyasovu vizuri tu na watakupa hizo njia walizotumia kusovu hii tatizo,
wala usiwe na hofu mkuu niPM tutaongea zaidi, lakini kwa faida ya wengine huyo binti hakufai
 
Pierre kwanza inaonekana huyo dada ulimpenda sana na ndiyo maana hata baada ya kuamua kumdelete, bado yupo kwenye mind yako. Pole sana...

Kuwa huyo dada anaweza kudai kuwa ana ujauzito wako ina maana kuwa tayari mlisahwahi kubanjuana, tena kavukavu1 Pole sana...

Naomba nikutie hofu, ili angalau akili yako isimuwaze tena sana. Ki ukweli ni kuwa kuna uwezekano mkubwa huyo dada ameshakuambukiza UKIMWI. Subiri miezi mitatu baada ya siku ya mwisho kukutana naye, kapime, na kama umeathirika, uanze kujipanga na kuishi kwa matumaini.

Jingine ni kuwa kama mlikuwa mnashea sex, na bado huyo dada akadiriki kwenda kwa mwanaume mwingine, then ujue katika mapenzi haumridhishi. Inawezekana kuwa maumbile au stail yako haiendani na interests za huyo dada, hivyo hakuna siku utaweza kubadilika.

Kukubali kwenda kulala kwa mwanaume mwingine hadi asubuhi, huku akijua kuwa sio mchumba wake ina maana kuwa anampenda sana au anaridhishwa sana na huyo mwanaume, na kwako yupo tu kwa ajili ya ndoa.

Kama anaweza kuyatenda hayo mkiwa sehemu moja, unafikiri anafanyaje akiwa mbali chuoni!!!!

Kama anaweza kumshirikisha mdogo wake katika kukusaliti, huoni kuwa uhuni ni tabia ya home kwao?

Hilo suala kuwa ana ujauzito wako, well usilikanushe sana kwa sasa... kama ni kweli mtoto atazaliwa na akiendelea kung'ang'ania ni wako, nendeni mkapime DNA. Actually hata baadae akibadilika na kusema sio wako, mwangalie kwa makini mtoto atakayezaliwa, ukihisi anaweza kuwa wako, fungua kesi, mtoto akapimwe; usipoteze damu yako.

Mwisho, suala la kuangalia kama mnaweza kuendelea au la, ni wewe upime mwenyewe kutokana na ushauri ulioelezwa hapa, ila kama unadhani kuwa unahitaji kuwa japo na chembe ya furaha katika sehemu ya maisha yako iliyobaki, then this woman should not be part of your family...

Pole sna...
 
Na wee mshkaji zoba sana, yani unampigia demu wako uliyem'engage simu anagoma kukufungulia alafu still unakaa nje masaa kibao??? Just by readin your story and without even knowing u nina hakika utakuwa unamegewa mademu zako wote utakao kuwa nao....Ladies see a confident man and insecure man ata ikiwa ndo siku ya kwanza kukutana. U seem very insecure (kwa kumuuliza anaangalia channel gani and i real hate that kind of a thing btn couples) na definitely she had to cheat b'coz even when she isnt cheating u feel like she is cheating. BLAME YOURSELF FOR WHAT HAPPENED...AND CHANGE YOUR ATTITUDE AND TRY TO ACT LIKE A MAN!!
 
wanawake wengine wanatutia aibu! pole bro ila huyu hakufai kipindi hiki ndio cha kuonyesha upendo na uaminifu wake kwako iweje aamue kugawa tunda? inawekana hata hiyo mimba hakuna bali anataka ukirudi tu akubebee mimba! kaa mbali hakuwa riziki huyo
 
Kama kakwambia ukweli msamehe, je ungekuwa wewe ndio umefanya hivyo usingependa usamehewe? Na kama bado unampenda go for her, sahau ya nyuma subiri mtoto azaliwe , mpime dna kama wa kwako wachukue mama na mwana songa mbele!
 
pierre kwanza inaonekana huyo dada ulimpenda sana na ndiyo maana hata baada ya kuamua kumdelete, bado yupo kwenye mind yako. Pole sana...

Kuwa huyo dada anaweza kudai kuwa ana ujauzito wako ina maana kuwa tayari mlisahwahi kubanjuana, tena kavukavu1 pole sana...

Naomba nikutie hofu, ili angalau akili yako isimuwaze tena sana. ki ukweli ni kuwa kuna uwezekano mkubwa huyo dada ameshakuambukiza ukimwi. subiri miezi mitatu baada ya siku ya mwisho kukutana naye, kapime, na kama umeathirika, uanze kujipanga na kuishi kwa matumaini.

Jingine ni kuwa kama mlikuwa mnashea sex, na bado huyo dada akadiriki kwenda kwa mwanaume mwingine, then ujue katika mapenzi haumridhishi. Inawezekana kuwa maumbile au stail yako haiendani na interests za huyo dada, hivyo hakuna siku utaweza kubadilika.

Kukubali kwenda kulala kwa mwanaume mwingine hadi asubuhi, huku akijua kuwa sio mchumba wake ina maana kuwa anampenda sana au anaridhishwa sana na huyo mwanaume, na kwako yupo tu kwa ajili ya ndoa.

Kama anaweza kuyatenda hayo mkiwa sehemu moja, unafikiri anafanyaje akiwa mbali chuoni!!!!

Kama anaweza kumshirikisha mdogo wake katika kukusaliti, huoni kuwa uhuni ni tabia ya home kwao?

Hilo suala kuwa ana ujauzito wako, well usilikanushe sana kwa sasa... Kama ni kweli mtoto atazaliwa na akiendelea kung'ang'ania ni wako, nendeni mkapime dna. Actually hata baadae akibadilika na kusema sio wako, mwangalie kwa makini mtoto atakayezaliwa, ukihisi anaweza kuwa wako, fungua kesi, mtoto akapimwe; usipoteze damu yako.

Mwisho, suala la kuangalia kama mnaweza kuendelea au la, ni wewe upime mwenyewe kutokana na ushauri ulioelezwa hapa, ila kama unadhani kuwa unahitaji kuwa japo na chembe ya furaha katika sehemu ya maisha yako iliyobaki, then this woman should not be part of your family...

Pole sna...

proof ?
 
DELETE WITHOUT SAVING - Press "Delete" button + "Shift" Button :: Usimuweke kwenye recycle bin unaweza ku-Undo!

Waambie Ndugu zako hiyo "saga" na waambia kwa kauli ambayo watakuelewa kuwa "hutaki kumuona tena maishani"!

Mtoto needs to be "proved" kama ni wa kwako - otherwise as it stands hiyo mimba ni "invalid" - Huo aliyelala naye usiku kucha he is "the father-to-be" untll further notice.

Kuna wanawake wengine huwa "wanawashwawashwa" kwahiyo lazima "wakunwe"! aagh:doh:
 
Uh.
hata kama ni ya kutungwa inauma sana.
Dawa ni moja. kwakuwa mpo kwenye engagement urahuhusiwa kumpiga chini na unaweza kumpeleka mahakamani kwa kukupotezea muda wako. sheria ya ndoa ya tanzania inaruhusu kushtaki kwa broke of the promise to marry.
Wizi mtupu hapo. dem hana soni kudadadeki.
Angelikuwa mmeoana ningekwambia hizo ni sihu ndogo za kiinfidelity na we unapaswa kuzidumisha....
 
Pole!
Mdelete then fungua recycle bin alafu tena delete.
Ni headache kuwa nae uyo
 
POLE SANA
1.WAELEZE NDUGU ZAKO KILA KITU NA TOA MSIMAMO WAKO.
2.MSIMAMO WAKO NDIO UTAKUFANYA UHESHIMIKE AU UDHARAULIKE MBELE YA NDUGUZO,HAWEZI KUWA TOFAUTI NA UAMUZI WAKO
3.NAJUA WAMPENDA SANA MCHUMBAWAKO NA SINA SHAKA NAE ANAKUPENDA......JE UKO TAYARI MUWE WAWILI? MCHANGIE MKE?
4.USITEGEMEE HATA BAADA YA KUMUOA WATAACHANA NA HUYO JAMAA. HAPO KAFIKA WEWE NI NAMBA 2
5.TATIZO NI KUWA HUYO JAMAA HAMPENDI ANGEMPENDA ANGEMUOA.
6.MIMBA YAWEZA KUWA YAKO AU SI YAKO...TULIZA KICHWA CHAKO.MTOTO HANA KOSA LOLOTE.
7. KOSA KUBWA SANA NA NI USHAMBA KUMPIGA MWANAMKE.......USIRUDIE TENA SIKU NYINGINE.
8.Aaaaaa,unasema i know this guy(mwizi wako) kwa hiyo ulimpindua jamaa?
9. Mkuu unakaa na mchumba miaka miwili halafu hujamshtukia tabia zake tu?
10.Siku nyingine, USIMFUATILIE MWANAMKE KIASI HICHO, waweza ukajakujiua,au kuua kwa utakayoyaona.
11.Swali zuri sana ulilomuuliza anaangalia chanel gani?.....baada ya kujua ukweli ungetuila na kuamua moja uendelee na mipango
ya kumuoa CHANGU au LA.
Ushauri/maoni.
wewe kama wewe huna ubavu wa kumuacha huyu bibie,na ndio maana ukakubali mazungumzo. nae anajua wazi huna ubavu wa kumuacha ndio maana kakueleza ukweli kuwa alikuwa anamegwa kwa raha zake. anakujua fika ulivyo........kuwa mwisho wa yote utasema basi sweet nimekusamehe usirudie...doooh??? NYIE WANAWAKE KWA NINI MNATUTENDA HIVI SISI WANAUME???????????
 
Kama kakwambia ukweli msamehe, je ungekuwa wewe ndio umefanya hivyo usingependa usamehewe? Na kama bado unampenda go for her, sahau ya nyuma subiri mtoto azaliwe , mpime dna kama wa kwako wachukue mama na mwana songa mbele!

WE MAKALIO UNATOA USHAURI MCHAFU NA WA HOVYO HOVYO APA TENA WA KIHINI..
IVI UJISHTUKII KUWA UPO PEKE YAKO????
NAZAN UTAKUA WW NI MUHUSIKA ULIEMEGWA AU NI MDOGO MTU
>>>
Pichu yko........ dat y unawavulia wa2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom