[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]APEFACE umetukomesha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]APEFACE umetukomesha
Heee? Shamba kisutu?Dah...miye nakumbuka tulivyokuwa tukiiba maembe kwenye shamba la mzungu pale kisutu (ilipokuwa stand)...Tulikuwa tukitoka Magomeni na kuvuka mto msimbazi kwa mtumbwi ambao ulikuwa na viboko na mamba......tukatembea porini kisha tunatokea hospitali ya Sewahaji (sasa hivi Muhimbili)...Tuliacha baada ya kunusurika kuliwa na simba pale Jagwani tena mchana kweupee😀😀😀😀
Mi ilikua ni mwendo wa kutoroka shule huyo naenda zangu kuogolea mto Naura(Arusha) siku ya siku mwenzetu mmoja akashindwa kuogelea(wanasema kanyonywa na chunusi) akafariki kwenye maji.Very bad experience.... na ndio mwisho wangu wa kuogelea mtoni.
Next time tunaenda shule huku kwenye begi tumebeba visoda(vifuniko vya soda) vilivyonyooshwa(tulikua tunavipanga kwenye njia ya reli ili usiku ikifika treni ikipita inavikanyaga vinavyooka vzr) then tunachimba shimo na kutumia hivo visoda kuchezea kamari.Siku ya siku dingi akanifuma nacheza hio kamari mtaani aisee nilipigwa mboko kuanzia mafichoni mpk shulen kama 1.5 kilometres hivi kufika shule dingi kwa sifa akaomba kengele igongwe aniadhibu parade daah ilikua aibu kinoma hahah......by the way ilikua kijenge primary.
Lastly,mimi na chalii angu dennis tulitumwa na walimu wetu kununua maembe makubwa sokoni karibu na hapo shuleni,embe kipindi hicho linauzwa sh. 50 walitupa mia 7 tukalete maembe 14.
Kufika sokoni tukayanunua tukayaosha fresh ile tunayapeleka shuleni sijui pepo gani lilituingia tukaanza kuyala na mshakaji hahah,tulikula kama 6 hivi yakabaki kama 8 tukaona huu msala tayari,hatuwez peleka maembe pungufu kwa walimu so tukagawana ma4 mimi na mwenzangu halafu tukayapeleka home eti tumewaletea zawadi tuliyoipata baada ya kufanya vzr kwenye hisabati hahah(zamani walimu walikua wanatoa motivation kwa wanafunzi uki score vzr).
Sikwenda shule kama siku 2 hivi nikizuga naumwa kumbe nawakwepa walimu maembe yao.siku nimeenda shule tulipewa kichapo heavy na tukaambiwa tukalete maembe yao hahah ikabidi twende home kusema ukweli khs yale maembe hahah,tukaangushiwa kichapo kingine tena kizito hahah.....those good old days..
utoto ni shida kuna siku nimerudi shule nikakuta mama hayupo na kuna mtoto wa dada yangu kaachiwa maagizo nisonge ugali, sasa ile nimeanza kusonga ugali tu nikasikia ( kuna jengo lipo hapa maeneo ya KAMATA) linaungua nikaacha ugali jikoni huyo mbio nawafuata watoto wenzangu tukashuudie, na hapo tulikua tunakaa chang'ombe maduka mawili tukakatisha keko......haooo mpk KAMATA nimefika hoi........ mpk jioni ndiyo narudi nyumbani miguu imevimba sababu ya kutembea umbali mrefu, mama karudi na kaacha jkoni vile vile nione sufuria ilivyo nyeusiii uwiii nilipigwaaa sitosahau toka siku ile ilikua mwisho.
Hahah wazazi wa siki hizi wanaendekeza haki za watoto eti mkuu hahahHahahaaa zamani ilikua ukiharibu shule unachapwa kuanzia hukohuko na ukirudi home unakula kichapo tena. Ila watoto wa siku hz bakora hawajala sana. Shuleni kwenyewe wala hawachapwi. Enzi zetu ukiharibu shuleni adhabu inakuja hadi home.
Hahah wazazi wa siki hizi wanaendekeza haki za watoto eti mkuu hahah
Hata mimi kilinitokea kisa kama hikiha ha ha ha..! mkuu umenikumbusha mbali utoto raha sana hizo nimezipitia sana kulikuwa na katoto flani hivi kakike kila asubuhi ninako kwenye mauwa ha ha ha! tulivyokuakua nikaja kunyang'anywa na kajamaa kengine hivi aghrrrrrr nikawa nakula kwa macho!
Watoto wa siku hz tunawalea kimayai sana ndio maana adabu yao imeshuka.Watoto wa siku hz hawachapwi kabisa. Ila mie wa kwangu mkwaju anaupata vizuri kabisa, but wazazi wengne nadra sana kuchapa. Enzi zetu tulikua tunachapwa hata na mtu ambaye si ndugu yako, ukiharibu mtaani then mtu mzima akikudaka anakutwike mboko za kutosha. Ila siku hz kumpigia mtu mwanae anaweza kukushtaki
Duuuh..miaka gani hiyo mzee wanguDah...miye nakumbuka tulivyokuwa tukiiba maembe kwenye shamba la mzungu pale kisutu (ilipokuwa stand)...Tulikuwa tukitoka Magomeni na kuvuka mto msimbazi kwa mtumbwi ambao ulikuwa na viboko na mamba......tukatembea porini kisha tunatokea hospitali ya Sewahaji (sasa hivi Muhimbili)...Tuliacha baada ya kunusurika kuliwa na simba pale Jagwani tena mchana kweupee😀😀😀😀
We bado mtotoNikiwa darasa la 4 kuna msichana mmoja tulikuwa tunakaa nae dawati moja wavulana tukiwa wawili. Bahati mbaya mimi na mwenzangu wote tulimpenda huyo msichana na kila mmoja kwa wakati wake alipomtongoza alipigwa kibuti..huyo jamaa akanishauri tumuendee huyo msichana kwa wamasai watupe dawa za mapenzi kwan kuna rafiki yake tuliyekuwa tunasoma nae amefanikiwa kupata msichana kwa jinsi hyo.
Tukachanga buku buku pale tukaenda nyasho kwa wamasai tukamweleza babu wa kimasai shida yetu kuwa kuna msichana tunampenda ila katuzingua so tunataka tumroge.
Tumapewa
dawa za aina tatu kila mtu
1. Dawa ya kufukiza wakati wa usiku
2.Dawa ya kuogea
3.Dawa ya kuchanganya na mafuta ya kujipaka.
Samahani Mama kaniita nitarud kuelezea masharti na matumizi ya hizo dawa na matokeo yake.
Asa mkuu mlifanikiwa kupata mgegedo au ndo bila-bila hadi leo?Nikiwa darasa la 4 kuna msichana mmoja tulikuwa tunakaa nae dawati moja wavulana tukiwa wawili. Bahati mbaya mimi na mwenzangu wote tulimpenda huyo msichana na kila mmoja kwa wakati wake alipomtongoza alipigwa kibuti..huyo jamaa akanishauri tumuendee huyo msichana kwa wamasai watupe dawa za mapenzi kwan kuna rafiki yake tuliyekuwa tunasoma nae amefanikiwa kupata msichana kwa jinsi hyo.
Tukachanga buku buku pale tukaenda nyasho kwa wamasai tukamweleza babu wa kimasai shida yetu kuwa kuna msichana tunampenda ila katuzingua so tunataka tumroge.
Tumapewa
dawa za aina tatu kila mtu
1. Dawa ya kufukiza wakati wa usiku
2.Dawa ya kuogea
3.Dawa ya kuchanganya na mafuta ya kujipaka.
Samahani Mama kaniita nitarud kuelezea masharti na matumizi ya hizo dawa na matokeo yake.
Du pole sana mkuu. Una bahati hukukutana na fisi au wachawi njiani.Nilishawahi kwenda shule saa 8 usiku maana nilkuwa mwoga viboko hivyo nilishutuka usiku nje kukawa na mbalamwezi nikajua kumekucha nikaoga fasta nduki mpaka shule kufika shule nakutana na shule tu inanizomea bahati nzuri nikamkuta mlinzi amekoka mbonge la moto tukaanza kupiga story tu mpaka kukakucha nakumbuka siku hiyo mimi ndio niligonga kengere ya ya alfajiri na yakuhesabia namba sitokaa nisahau.