Mao Tanzania
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 210
- 231
Dar es salaam imeongoza kwa rushwa
Hiki ni chama chenye kutetea wanyonge, kwa hiyo wao hawana nafasi ya kufikiriwa ktk fursa za uwakilishi, achilia kupewa nafasi kupitia makundi yao maalum. Katika hii ni biashara ya rushwa ni lazima wawe watiifu kwa mabwana zao, kwa kuwa wao ni watwana tu, ndiyo maana wamepewa jina hilo.Wajumbeeee!
Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia.
Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya Waliohonga kwa hasira Sana.
Sasa nimemkumbuka na kukumbuka hayo nilipokuwa napitia pitia Uchaguzi wa umoja wa vijana viti Maalumu. Wengi waliong'ara Ni Watoto wa matajiri. Huenda ikaashiria matumizi makubwa ya pesa.
Kwa waliotia nia wanasema kura ziliwekwa mnadani, kati ya 50,000 hadi 250000 na katika chaguzi hizi za vitu maalumu, wale middle men wamekula hadi m1 maeneo mengine.
Kwa ujumla, kupunguza nguvu vyama vya upinzani, kupunguza nguvu ya vyombo vya habari na kuondoa wanachama wote kushiriki mchakato wa kura za maoni kunaweza kuwa kumechochea haya.
Kazi ya kuliokoa Taifa imebaki Sasa mikononi Mwa Polepole, Bashiru na JPM
Watoto wa matajiri hawana haki au hawaruhusiwi kugombea?Wajumbeeee!

Kama baba yako hakuisaidia TANU na baadae CCM mtabaki kushangilia na kuimba mapambio chezea Pesa weweWajumbeeee!
Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia.
Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya Waliohonga kwa hasira Sana.
Sasa nimemkumbuka na kukumbuka hayo nilipokuwa napitia pitia Uchaguzi wa umoja wa vijana viti Maalumu. Wengi waliong'ara Ni Watoto wa matajiri. Huenda ikaashiria matumizi makubwa ya pesa.
Kwa waliotia nia wanasema kura ziliwekwa mnadani, kati ya 50,000 hadi 250000 na katika chaguzi hizi za vitu maalumu, wale middle men wamekula hadi m1 maeneo mengine.
Kwa ujumla, kupunguza nguvu vyama vya upinzani, kupunguza nguvu ya vyombo vya habari na kuondoa wanachama wote kushiriki mchakato wa kura za maoni kunaweza kuwa kumechochea haya.
Kazi ya kuliokoa Taifa imebaki Sasa mikononi Mwa Polepole, Bashiru na JPM
Mh. Rais aangalie namna ya kupunguza maslahi ya Ubunge maana huko kumegeuka mahali ambako kiafya ya Ubora wa Uwakilishi sio salama.
Matajiri Wazazi wao wanamiliki viwanda au?
Ova
Kabisa ili kunusuru Taifa, Wabunge walipwe chini ya 1m kwa mwezi. Wapewe madereva wa Serikali na pawe na hostel za bunge dodomaMh. Rais aangalie namna ya kupunguza maslahi ya Ubunge maana huko kumegeuka mahali ambako kiafya ya Ubora wa Uwakilishi sio salama.
Kazi ya kuliokoa Taifa imebaki Sasa mikononi Mwa Polepole, Bashiru na JPM...Wajumbeeee!
Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia.
Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya Waliohonga kwa hasira Sana.
Sasa nimemkumbuka na kukumbuka hayo nilipokuwa napitia pitia Uchaguzi wa umoja wa vijana viti Maalumu. Wengi waliong'ara Ni Watoto wa matajiri. Huenda ikaashiria matumizi makubwa ya pesa.
Kwa waliotia nia wanasema kura ziliwekwa mnadani, kati ya 50,000 hadi 250000 na katika chaguzi hizi za vitu maalumu, wale middle men wamekula hadi m1 maeneo mengine.
Kwa ujumla, kupunguza nguvu vyama vya upinzani, kupunguza nguvu ya vyombo vya habari na kuondoa wanachama wote kushiriki mchakato wa kura za maoni kunaweza kuwa kumechochea haya.
Kazi ya kuliokoa Taifa imebaki Sasa mikononi Mwa Polepole, Bashiru na JPM
Wajumbeeee!

Hayo mambo yapo siku nyingi sana. Labda wewe ndio unashangaa. Na hayataisha labda mbinguni.
Ipo siku kila mjumbe atapewa 1m mpaka 200m kwa ajili ya kura.
Labda kupunguza itabidi mishahara na marupurupu ya mbunge yawe laki tano kwa mwezi. Na pasiwe na kiinua mgongo.
Kila ilipo ccm rushwa imetembeaDar es salaam imeongoza kwa rushwa
Na viti maalumu wamevuna Sana maake walikuwa wachache. Wajumbe 40 mtu akijikamatia 21 akawalambisha 21m Kuna hasara gani