Viti Maalum vya Ubunge vyaigawa CHADEMA. Washindwa fikia muafaka kususia Bunge

Vip
Mmeshapoa sasa mnawaza mapanki ni bora muyale tu?
Vipi kuhisu bosi wenu LISU mnaanza kumsahau kiaina, vipi misheni zake mara maandamano au mme mpuuza?
changia mada kama haikuhusu pita kushoto. usitake kunijuajua humu JF,
 
Watakufa na njaa, na kubaki kama chama cha dovutwa.
 
List huwa inawasilishwa tume ya uchaguzi kabla ya uchaguzi kufanyika. Hivyo tume ndiyo itateua kwa kufuata orodha hiyo wakianzia na jina la kwanza hadi nafasi zinapoishia. Kwa sasa huwezi kuchomekea majina.
 
Hii ndo busara mkuu
Na ikiwezekana hata madiwani wafanye kazi sawasawa japo mazingira ni magumu
..nashauri waachwe waende bungeni.

..wakifika huko wawe jeshi la WANAWAKE dhidi ya wabunge wa ccm.
 
Hata mimi ningewashauri waende bungeni wakavute mshiko ambao pia utawasaidia kusolve matatizo madogo ya chama chao.
 
Njaa haina Baunsa


Uchaguzi umeisha sasa tujenge nchi.

URT- JPM
SMZ- Mwinyi
 
daah nime block CCM kibao ila bado sijamaliza. nichunie mwana. Hili la kutesa wenzenu inabidi lilete mpasuku. Kwa hiyo ukiniona humu nipotezee, au sio? sina zuri na CCM
Utakufa hivyo Hivyo
Na Kamwe Shetani Hatashinda nguvu za Mungu
Block hadi Kivuli chako ubakie na Mavazi Uliyo yavaa mwilini mwako
Bado Haita badili Ukibendera wako wakushabikia Upinzani Uchwara
Na Ukitaka usisemwe kula Tango na Asali
 
Kumbuka listi ya wabunge wa Viti maalum ilishapelekwa Tume siku nyingi sana. Kwahiyo huwezi kubadilisha kitu pale.
 
Ilishatumwa siku nyingi sana.
 
Aisee mambo yanakwenda kwa kasi mno sasahivi chadema wanapambania viti maalum.
 
Huna ujualo,
Umeongelea hisia zako,
Ambazo sio lazima ziwe kweli
 
Umenena vyema
 
Tuandamane hizo nafasi asikose Mbowe, Lema, Sugu, Msigwa na tumfikirie hata Zitto maana ameshaacha usaliti! Tuandamane keshokutwa saa mbili...
 
Kisiasa hilo ni kosa wanajiua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…