Vitasa kwenye Public buildings!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Nimechagua vitasa kwa sababu Vitasa ndiyo balaa kama pale Muhimbili vitasa vinashikwa na wagonjwa na wazima wangapi kabla ya wewe kukishika. Lakini pia kuna nguzo za kwenye usafiri wa Umma kama vile treni au mabasi ambazo zinashikwa na watu wengi. Inakuwaje katika kueneza magonjwa kwenye jamii? Ukiteremka kutoka kwenye basi huwa unakumbuka kwamba ulishika nguzo ya basi ambayo hapo kabla ilishikwa na mtu mwingine ambaye hujui alikuwa ni msafi kiasi gani?
 
Ila sometimes ukiendekeza sana mpaka watu watakuona we mbaguzi,ingawa ni jambo la msingi kuzingatia kiafya
 
Ila sometimes ukiendekeza sana mpaka watu watakuona we mbaguzi,ingawa ni jambo la msingi kuzingatia kiafya
Si unajua kuna watu huwa hawatembei na vitambaa vya***** lakini ni hodari wa kupenga hayo**** na huwa hawanawi mikono kabla ya kushika vitu vinavyotumiwa na watu wengi!!?
 
umesahau ufunguo wa chooni
kuna sehemu wanafunga choo
ukienda wanakupa ka ufunguo

hakuna kitu naogopa kama kile kiufunguo
kimebesha shehena ya tani mia elfu.
 
Si unajua kuna watu huwa hawatembei na vitambaa vya***** lakini ni hodari wa kupenga hayo**** na huwa hawanawi mikono kabla ya kushika vitu vinavyotumiwa na watu wengi!!?

Aaagh ushanifanya niache msosi
 
...mm mtihani unakuja pale nimeshanawa mikono nikamege ugali...kufunga ile tape ndo ishu...huwa naacha yanatiririka...BIG SORRY!
 
wanaposhika watu tofauti tofauti vidudu hufa tokana na mseto unaopatikana hapo wenye hatari ni kumi wa kwanza.
 
Back
Top Bottom