mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,092
Mmmmmmmmmmmmmmh!!!! labda tutakua tuna-renew kama kikadi cha benk, kumbe tupo wengi sana tunaojiuliza swali hili???????Halafu hiyo expiry date ina maana gani? Kwamba ikifika hiyo tarehe mwenye kitambulisho atakuwa amebadilika au?