Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,664
- 2,517
Weka link ya filamu yakeThings fall apart, Okonkwo. Moja ya Riwaya nzuri sana. Na ina filamu yake pia.
Weka link ya filamu yakeThings fall apart, Okonkwo. Moja ya Riwaya nzuri sana. Na ina filamu yake pia.
Umekisoma?Aisee!!umekipa sifa hadi zimekinaisha.
Asante kwa kusoma Sista.Nimesoma hii hadi nikahisi nasoma kitabu chote. Nilivyofika nusu nikawaza, "baada ya hii nitatakiwa nisome kitabu tena"?
Thanks for distilling the key insights. Una uandishi/Lugha nzuri nimependa sana japo ni ngumu kidogo.
Okay, Wakati nasoma hii nikakumbuka nimewahi kusikia interview ya Jared kuhusu hii "Upheaval" ila nilisahau kabisa hadi nilivyo soma. IIRC, alisema angeweza kuandika zaidi kuhusu hizi zinazokumba dunia lakini wasiwasi wake ni watu wasingekizingatia kitabu chake kwa sababu ya ukubwa. Lakini pia kuandika kidogo inaonekana ameacha mambo mengi. Nahisi alitamani pia kuandika kuhusu hayo magonjwa ya milipuko n.k.
Asante kwa kurahisisha, sasa nikisoma hiki kitabu sitasoma (nitaruka) Finland chapter. Nimeelewa vizuri sana kutoka kwa summary yako na inatosha.
Inavutia sana.Ndoto ya Kila mpenda vitabu View attachment 2360546
Kaka nahitaji Kitabu cha The godfather kilichotafsiriwa kwa kiswahili naweza kukipata 0652740451Nitumie namba nikutumie hicho kitabu unachotaka hapo juu alafu mimi nimetafsiri vitabu vingi sina
Vipo kwenye mfumo wa hard copy na soft copy
Umesha visoma?
😀😀Chand piaPrinciples of Physics by Nelkon
My best book ever