Vitabu vya Willy Gamba (Elvis Musiba)

Katikati ya miaka ya 90 nilibahatika kusoma vitabu viwili kati ya hizo : njama na kufa na kupona, aisee ziko vizuri sana vinasisimua ni km vile unatizama move vile akilini mwako.
 
ila vin
"leo sijaja kula chochote bali ni kuwauwa wapinga mapinduzi wote,wewe ukiwa mmoja wao"

"Nguo aliyovaa Veronica Amadu ilikuwa na matundu madomadogo yaliyosababisha nione umbo la chuchu zake"

"Nilisimama nikiliangalia gari la Veronica Amadu mpaka taa za nyuma zilipofifia''

"sammy alikuwa na akili sana,aliweza kutafsiri mambo kwa haraka sana na alikuwa na uwezo mkubwa wa kutumia Kisu,alikuwa na uhakika wa kuua watu watatu kwa visu vitatu kuliko mimi nikiwa na risasi tano"

"tulikuta ujumbe umeandikwa KUONDOKA LEO NA MMOJA KATI YA WAONYESHA MAVAZI KUTOKA UADUINI TUNAMOFIKIRI,hapa tulikuja Kujua kuwa mshiriki kutoka south Afrika ambae alikuwa anaondoka siku hiyo,atakuwa amebeba nyaraka hizo"
apatikana amazon na wauzaji wengine wa bidhaa za mtandaoni
NINA OMBI aliyenavyo pdf ani PM kisha nimpe email yangu anitumie
haijalishi kwa sasa si rahisi kunizuia kuvisoma maana technolojia inatufanya tusiwe na shida
 
Kweli nyinyi vijana wa zamani...vijana wa sasa tunavutiwa na series zilizotungwa kwa kutumia akili nyingi kama 24 Hrs,The Unit,Lost,Prison Break N.K Ninapotizama filamu hizi usingizi uniruka na ujikuta nina uwezo wa kukaa mbele ya "kideo" hata kwa zaid ya masaa 20
Nakumbuka nilianza kuiangalia 24 kwa mara ya kwanza ijumaa miaka nane iliyopita,sikutoka nje hadi juma tatu na usiku ilikuwa silali,nikipata usingizi au kwenda haja naweka pause,hii ilinitesa kuliko prison break.
Nakumbuka juhudi za kumtia mikononi HABIB MARUANI
 
Willy Gamba ameshazeeka jamani,anaishi Salasala Dar es salaam na watoto wake wapo Goba Dar es salaam.
Ni mtoto mmoja tu amerithi kazi ya baba yake ya ukachero nae ni namba moja pia kama alivyokuwa baba yake.
Pia Veronica Amadu,Mwadi na Sami wao wapo hai nao ni wastaafu.
 
ila vin
"leo sijaja kula chochote bali ni kuwauwa wapinga mapinduzi wote,wewe ukiwa mmoja wao"

"Nguo aliyovaa Veronica Amadu ilikuwa na matundu madomadogo yaliyosababisha nione umbo la chuchu zake"

"Nilisimama nikiliangalia gari la Veronica Amadu mpaka taa za nyuma zilipofifia''

"sammy alikuwa na akili sana,aliweza kutafsiri mambo kwa haraka sana na alikuwa na uwezo mkubwa wa kutumia Kisu,alikuwa na uhakika wa kuua watu watatu kwa visu vitatu kuliko mimi nikiwa na risasi tano"

"tulikuta ujumbe umeandikwa KUONDOKA LEO NA MMOJA KATI YA WAONYESHA MAVAZI KUTOKA UADUINI TUNAMOFIKIRI,hapa tulikuja Kujua kuwa mshiriki kutoka south Afrika ambae alikuwa anaondoka siku hiyo,atakuwa amebeba nyaraka hizo"
apatikana amazon na wauzaji wengine wa bidhaa za mtandaoni
NINA OMBI aliyenavyo pdf ani PM kisha nimpe email yangu anitumie
haijalishi kwa sasa si rahisi kunizuia kuvisoma maana technolojia inatufanya tusiwe na shida musiba wa ch. ten anaweza kuwa navyo
 
HUYU jamaa aliwahi kuwa mwandishi mzuri wa hadithi za kubuni (creative writting) hivi kwa nini siku hizi hawapo ? waandishi wengi ambao hata riwaya na tamthilia zao zinatumika mashuleni ni wale wasomi wa miaka ya 60 na 70 kwa sasa sijaona vitabu vipya, anyway hivi mkuu #Kaizer** ulifanikiwa kupata hivi vitabu lakini niliwahhi kusikia kuwa polisi wakikukamata navyo unakesi ya kujibu? hivi ni kweli?

mkuu, baadhi nimeshavisoma, niseme tu vyote, hapa JF kuna uzi ulikuwepo wa riwaya za Hofu kama nakumbuka vizuri, na riwaya yake moja hivi. Polisi hawawezi kukukamata kama unacho kihalali mkuu, maana sijasikia kama vimepigwa marufuku na ni kwa sababu gani.
tukirudi kwa waaandishiw a siku hizi ndio kama hivyo wengi wamejikita kwenye uandishi soft wa mambo ya machombezo, hasa wa kina shigongo huko.......ni hatari sana kwa maendelea ya elimu
 
Willy Gamba ameshazeeka jamani,anaishi Salasala Dar es salaam na watoto wake wapo Goba Dar es salaam.
Ni mtoto mmoja tu amerithi kazi ya baba yake ya ukachero nae ni namba moja pia kama alivyokuwa baba yake.
Pia Veronica Amadu,Mwadi na Sami wao wapo hai nao ni wastaafu.
wewe unakula msuba hahahahaha hatari sana
 
Kuna issue ya HUJUMA,ni nani ameisoma?nimebahatika kukipata majuzi hapa inaonekana kimeandikwa baada ya riwaya kama Uchu....like kilikuwa cha mwisho mwisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nimekipata ni balaa mwanzo mwisho. Huende ni kweli kilizuiwa ndio maana siku2a nimekitia machoni ila kwa bahati nimekipata. Na naelewa inawezekana kweli kilizuiwa enzi hizo...ila nina mashaka na muda hasa kilipoandikwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitabu hivyo huwezi kuacha ukishaaanza,ni kama kuangalia siries za 24,Jack Bauer anakuweka macho hata wiki,hulali.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom