Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

Uwa natamani sana kusoma vitabu, ila kiingereza kwangu ndio shida na nina elimu ya degree
 
Kua haki sawa mi naona ni njia inayotumika kumnyonya mwanaume.
Ipo wazi kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume. Ila wanaoongoza kwa uzalishaji ni wanaume(kiuchumi)
Mbali na kusoma hivi vitabu pia nimekutana na watu walionizidi umri, kitu wanchosema ni kwamba wanawake wanataka kukaa juu ya mwanaume yaani mwanamke anataka awe yeye ndo kichwa awe na mamlaka kuliko mwanaume wakati sio mzalishaji.
Alafu kitu kingine ni kwamba wanawake wanawazungumzia sana wanaume kuliko sisi tunavyowazungumzia wao.
Hta kwenye music mwanamke anaonekana ni wa dhamani sana kuliko chochote....yaan music nadra kusikia wanasifia uzalishaji zaidi wanasifia wanawake na mapenz.

Ila mapenz na wanawake wamekua overreted sana. Kama hujawahi kuexperience mapenz au wanawake ukisikia nyimbo utadhani ndo kila.kitu kwa dunia hii....ukishafanya yote utaonani ubatili mtupu
 
Rolo Tommasi kwenye mfululizo wa kitabu chake cha Rationale Male ame summarize hayo uliyoyasema hapo juu kama ni " Shitty Test".

Shitty test ni jaribio la mwanamke kutaka kujua jambo au msimamo wako kwynye jambo fulani.

Hapo juu mwanamke anampima mwanaume if a man is available exclusive to her. Na sio kwa mwanamke mwingine.

Kitendo cha jamaa kumpa ruhusa ya kuondoka pasi na kuanza kumbembeleza kimemuonyesha mwanamke kuwa yuko replacable.
Na ukibembeleza unaonekana zuzu....ukiwa na hela mwanamke atafanya yote hayo na itaonekana ni upendo tuu
 
Hta kwenye music mwanamke anaonekana ni wa dhamani sana kuliko chochote....yaan music nadra kusikia wanasifia uzalishaji zaidi wanasifia wanawake na mapenz.

Ila mapenz na wanawake wamekua overreted sana. Kama hujawahi kuexperience mapenz au wanawake ukisikia nyimbo utadhani ndo kila.kitu kwa dunia hii....ukishafanya yote utaonani ubatili mtupu
Mkuu wasanii wa bongo ndo wapo ivo karibia wote. Kuna nyimbo ukisikiliza za wamarekani wanaelezea uhalisia tofauti na wasanii wa bongo.
Kuna nyimbo ya Chris Brown anaeleza jinsi mwanamke anavotaka kumnyonya. Jina la nyimbo limenitoka kidogo
 
"You can take advantage of someone's feelings only if you are not involved yoursel . Therefore she turns her partners emotions to her own profit, ......
 
Na ukibembeleza unaonekana zuzu....ukiwa na hela mwanamke atafanya yote hayo na itaonekana ni upendo tuu
"the action ofinfidelity itself is a methodfor securing better geneticstock than the committedmale provider is capable of
supplying." - RM
 
Mwanamke ni dhaifu na atabaki kuwa dhaifu ndivyo walivyoumbwa

Hii watu wanafika wanapinga maandiko kuwa mwanamke siyo dhaifu hawajui maana yake

Mwanamke ni dhaifu na mwepesi wa kukata tamaa
 
Ukisema mwanamke ni dhaifu pengine hujasoma biblia stori inayomuhusu Esther (kama we ni mkristo)
 
Siyo sijasoma hapa ndipo watu wanashindwa kujua kwa kuziba akili zao kabisa

Mwanamke ni dhaifu sana na mwenye kukata tamaa mapema

Ngoja nikueleze sasa

Mwanamke kwa kuwa ni dhaifu mwanamme akishindwa na mwanamke jua kuna mwanamme mwenzio mwenye nguvu kukizidi wewe na mwenye akili kubwa kukuzidi wewe mwanamke anatumiwa tu anapewa iman na uvumilivu kupitia mwanamme

Kama umemsoma esta jua nyuma yake alikuwepo mjomba ake aliyemfundisha na kumfunda nn afanye kwa mfalme siyo yeye esta kama yeye ujue

hata Adam asingeweza kurubuniwa na hawa mkewe kama nyoka mwelevu kupita wananyama wote asingekuwa nyuma ya hawa

pita pote mwanamke ni dhaifu tu ila ukiona ni ngangali jua kuna kidume zaidi yako kinachosimamia show
 
Kuna wanaosema kwenye nafanikio ya mwanaume nyuma yake kuna nguvu ya mwananke.
Hayo maneno yana ukweli?
 
Uwa natamani sana kusoma vitabu, ila kiingereza kwangu ndio shida na nina elimu ya degree
Kiingereza siyo kigumu, hgumu upo kwenye mentality yako na mtazamonkwa ujumla, jaribu kusoma ukiwa na notebook. Maneno magumu unayanote na kuangalia pronounciation ama matamshi kwa kutumia kamusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom