Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

Kitabu cha kwanza manaume yeyote anapaswa kukisoma ni

1. "Rationale Male" by Rolo Tomassi



LINK:- (https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjAAegQIARAC&usg=AOvVaw3CUR9gfU2QXppqfVw9Rjt3)
download.jpg
 
Nani kayatengeneza hayo mazingira....unafikiria kikiwa na haki sawa dunia itasonga?
Kua haki sawa mi naona ni njia inayotumika kumnyonya mwanaume.
Ipo wazi kwamba wanawake ni wengi kuliko wanaume. Ila wanaoongoza kwa uzalishaji ni wanaume(kiuchumi)
Mbali na kusoma hivi vitabu pia nimekutana na watu walionizidi umri, kitu wanchosema ni kwamba wanawake wanataka kukaa juu ya mwanaume yaani mwanamke anataka awe yeye ndo kichwa awe na mamlaka kuliko mwanaume wakati sio mzalishaji.
Alafu kitu kingine ni kwamba wanawake wanawazungumzia sana wanaume kuliko sisi tunavyowazungumzia wao.
 
Nimetia kambi Hapa nachukua nondo tuuu
 
Manipulated Man by Esther Vilar

Polygamous by Esther Vilar

The Dating Wizard Secrets to Success with Women.

Kwa walio oa ni vizuri mkajua kwa nini wanawake wanachepuka kwa kusoma The Dating Wizard

Nitagusia baadhi ya maeneo ya ivyo vitabu alafu tutaangalia kama yanayosemwa yana ukweli ndani yake au la!?

BTW mi sio mwandishi mzuri kama kuna sehemu nitakua nimechapia mtanirekebisha.
Naomba unipatie pdf zake tafadhali, natanguliza shukrani za dhati.
 
Hawa wa Kitanzania huitaji kusoma vitabu ili kujua kwanini wanachepuka ni tamaa na umalaya tu hakuna kingine.
Eneo la kijiografia hali athiri tabia na asili ya mwanamke.

Tabia ya mwanamke ni universal.
 


Kuna sehem anasema kwamba wanawake hawana hisia.


Inaonekana ni kitabu kizuri.

Ila kuna pahala anakosea.

Kusema kuwa wanawake hawana hisia ili hali wanawake sio logical creature anapingana na awazo yangu binafsi.
 
Uyo mdada mwandishi aache zake mwanamke ndo anaetupa starehe mwanamke ndo burudani yetu sasa kama anasema tusingekuwa tunafanya kwa sababu ya wanawake basi tungekuwa mbali sasa sasa wanataka tufanye kwa sababu ya nani mwanamke ndo starehe yetu mfano mm mke wangu ndo starehe yangu na ndo kitu nachopenda iko napenda mno....
 
Polygamous
Mwandishi anaanza na script ya film ambayo inaenda kama ifuatavyo;
The man: Darling, you're so quite. Anything wrong?
The woman: Its nothing
He: come on, tell me, what it is?
She: I don't know how to make you understand.
He: How to make me understand what ?
She: (after a pause) I want to leave you.
He: Another man?
She: Yes
He: Are sure you love him
She: Yes
He: More than you love me?
She: I can't go without him
He: (Puts his arm around her shoulder) How wonderful.
She: What did you say?
He: I said, that's wonderful. Go ahead - with him.
She: You're glad
He: Why shouldn't I be?
She: Then you no longer love me?
He: On the contrary .
She: You still love me?
He: I love you, so I want you to be happy. What did you expect?
Rolo Tommasi kwenye mfululizo wa kitabu chake cha Rationale Male ame summarize hayo uliyoyasema hapo juu kama ni " Shitty Test".

Shitty test ni jaribio la mwanamke kutaka kujua jambo au msimamo wako kwynye jambo fulani.

Hapo juu mwanamke anampima mwanaume if a man is available exclusive to her. Na sio kwa mwanamke mwingine.

Kitendo cha jamaa kumpa ruhusa ya kuondoka pasi na kuanza kumbembeleza kimemuonyesha mwanamke kuwa yuko replacable.
 
Uyo mdada mwandishi aache zake mwanamke ndo anaetupa starehe mwanamke ndo burudani yetu sasa kama anasema tusingekuwa tunafanya kwa sababu ya wanawake basi tungekuwa mbali sasa sasa wanataka tufanye kwa sababu ya nani mwanamke ndo starehe yetu mfano mm mke wangu ndo starehe yangu na ndo kitu nachopenda iko napenda mno....
Wanaume wengi wanapata msukumo wa kupoga hatua kimaisha kwa lengo la kuongeza thamani zao mbele ya macho ya mwanamke.

Wengi wanajituma ili kujiweka katka nafasi nzuri ya kupata bebe tunaye mtaka.

Ndio maana wanawake wanapenda wanaume wenye mafanikio maishani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom