Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

Toosie Slide

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
786
946
Manipulated Man by Esther Vilar

Polygamous by Esther Vilar

The Dating Wizard Secrets to Success with Women.

Kwa walio oa ni vizuri mkajua kwa nini wanawake wanachepuka kwa kusoma The Dating Wizard

Nitagusia baadhi ya maeneo ya ivyo vitabu alafu tutaangalia kama yanayosemwa yana ukweli ndani yake au la!?

BTW mi sio mwandishi mzuri kama kuna sehemu nitakua nimechapia mtanirekebisha.
 
Vitapatikana wapi vitabu hivi?
 
Manipulated Man
Kwanza kabisa huyu mwandishi ni mwanamke. Ndani ya kitabu chake ameelezea jinsi mwanaume anvyokua manipulated kwa mwanamke, pia akaeleza jinsi wanawake wanavyofundishwa kuwahadaa wanaume.

Anasema kwamba mwanamke tangu akiwa mtoto anafundishwa namna ya kumuhadaa mwanaume, kumnyonya na kua tegemezi kwa mwanaume.

Akaeleza kua mwanamke sio dhaifu kama ambavyo wengi tumeaminishwa. Kwenye kitabu chake amewaita wanawake kwamba ni wavivu, wasiopenda kufanyakazi, kushughulika na kazi ndogondogo za nyumbani na kusubiria kuletewa na mwanaume.

Anasema mwanamke si lazima kumhudumia kila kitu kwa sababu mwanamke anataka kula kiulaini kupitia mgongo wa mwanaume.

Anasema kama wanaume wangekua hawafanyi kitu kwa sababu ya mwanamke dunia ingekua mbali sana.

Kuna sehem anasema kwamba wanawake hawana hisia.
 
Manipulated Man
Kwanza kabisa huyu mwandishi ni mwanamke. Ndani ya kitabu chake ameelezea jinsi mwanaume anvyokua manipulated kwa mwanamke, pia akaeleza jinsi wanawake wanavyofundishwa kuwahadaa wanaume. Anasema kwamba mwanamke tangu akiwa mtoto anafundishwa namna ya kumuhadaa mwanaume, kumnyonya na kua tegemezi kwa mwanaume. Akaeleza kua mwanamke sio dhaifu kama ambavyo wengi tumeaminishwa. Kwenye kitabu chake amewaita wanawake kwamba ni wavivu, wasiopenda kufanyakazi, kushughulika na kazi ndogondogo za nyumbani na kusubiria kuletewa na mwanaume. Anasema mwanamke si lazima kumhudumia kila kitu kwa sababu mwanamke anataka kula kiulaini kupitia mgongo wa mwanaume.
Anasema kama wanaume wangekua hawafanyi kitu kwa sababu ya mwanamke dunia ingekua mbali sana.
Kuna sehem anasema kwamba wanawake hawana hisia.
Nitarudi baadae
 
Duh hapo mwisho ungeweka ufafanuzi kidogo mkuu
 
Attachments

  • The Manipulated Man by Esther Vilar.pdf
    619.9 KB · Views: 71
  • The Dating Wizard Secrets to Success with Women by W. Michael.pdf
    845.5 KB · Views: 71
  • The Polygamous Sex A Mans Right to the Other Woman by Esther Vilar.pdf
    17.7 MB · Views: 68
Polygamous
Mwandishi anaanza na script ya film ambayo inaenda kama ifuatavyo;
The man: Darling, you're so quite. Anything wrong?
The woman: Its nothing
He: come on, tell me, what it is?
She: I don't know how to make you understand.
He: How to make me understand what ?
She: (after a pause) I want to leave you.
He: Another man?
She: Yes
He: Are sure you love him
She: Yes
He: More than you love me?
She: I can't go without him
He: (Puts his arm around her shoulder) How wonderful.
She: What did you say?
He: I said, that's wonderful. Go ahead - with him.
She: You're glad
He: Why shouldn't I be?
She: Then you no longer love me?
He: On the contrary .
She: You still love me?
He: I love you, so I want you to be happy. What did you expect?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom