Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

Vitabu vitatu mwanaume unatakiwa kuvisoma

Manipulated Man
Kwanza kabisa huyu mwandishi ni mwanamke. Ndani ya kitabu chake ameelezea jinsi mwanaume anvyokua manipulated kwa mwanamke, pia akaeleza jinsi wanawake wanavyofundishwa kuwahadaa wanaume.

Anasema kwamba mwanamke tangu akiwa mtoto anafundishwa namna ya kumuhadaa mwanaume, kumnyonya na kua tegemezi kwa mwanaume.

Akaeleza kua mwanamke sio dhaifu kama ambavyo wengi tumeaminishwa. Kwenye kitabu chake amewaita wanawake kwamba ni wavivu, wasiopenda kufanyakazi, kushughulika na kazi ndogondogo za nyumbani na kusubiria kuletewa na mwanaume.

Anasema mwanamke si lazima kumhudumia kila kitu kwa sababu mwanamke anataka kula kiulaini kupitia mgongo wa mwanaume.

Anasema kama wanaume wangekua hawafanyi kitu kwa sababu ya mwanamke dunia ingekua mbali sana.

Kuna sehem anasema kwamba wanawake hawana hisia.
Kama anapoint vile
 
Hicho manipulated man siyo kizuri kwa afya ya mahusiano baina ya mwanamke na mwanaume.
 
Nimemaliza kitabu cha "The Dating Wizard" , narudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom