Vitabu aina 8 vya Joram Kiango sokoni...

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,675
Habari zenu ndugu wana jamii?

Kwa mara nyingine, napenda kuwatangazia wale wapenzi wa riwaya za kipelelezi kuwa vitabu aina nane vya Joram Kiango vilivyoandikwa na marehemu Ben R. Mtobwa sasa vinapatikana kwa bei ya 10,000 kwa kila kitabu cha Joram Kiango. Mpaka sasa vipo Posta mpya karibu na sanamu mbele ya hd pharmacy, Ubungo terminal, Tegeta

Mpaka sasa kuna:
1/salamu toka kuzimu
2/ mtambo wa mauti
3/ najisikia kuua tena
4/ mikononi mwa nunda
5/ malaika wa shetani
6/ tutarudi na roho zetu?
7/ mikataba ya kishetani
8/ roho ya paka

Napata maswali mengi juu ya vitabu vya Musiba. Mpaka sasa tunadeal na vitabu vya marehemu Ben R. Mtobwa pekee.

Bado tunaendelea kurudisha vitabu vya Mtobwa kidogo kidogo. Wale wapenzi wa Dar es Salaam Usiku na vingine vya kijamii, napenda kuwaahidi kuwa vitabu hivyo navyo vitaingia sokoni muda si mrefu Mungu akipenda.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0712504985 au 0763044459.

Aina 8 ya Joram Kiango.

20160502_174612.jpg
 
Je vitabu Vya Willy Gamba naye Vp!?

Je hivyo vitabu Naweza kuvipata kwenye PDF(Soft Copy)!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom