Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,557
- 21,513
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu kisemacho Kuna Roho mchafu kwenye vitabu vya wazungu.
Leo nazungumza na wale wapenzi wa kusoma vitabu hasa vya wazungu.
Kuna watu wanasoma vile vitabu bila kujua kuwa Kuna nguvu ya Roho chafu.
Wasomaji wengi wa vitabu wanajiona wao wanaakili sana kuliko wengine, wanajisemea wao wanamaarifa.
Tena wamekuwa wakiwakashifu ambao hawasomi kwa kujiona wao wanamaarifa makubwa sana kuliko wengine.
Kuna watu wamekuwa wakisoma na kuondoka na maarifa ambayo wao wanaona yanawajenga lakini kuna nguvu ambayo ipo wameibeba.
Tena nguvu hiyo ya Roho mchafu inaharibu hata fikra wanaanza kuwaza maisha yale ya vitabu ambayo ni ya kuwaza sio kweli.
Kuna watu wanasoma vile vitabu mpaka wanaona Mungu hayupo, maana wamepata maarifa ambayo yanawafanya waone ndiyo ya kweli kumbe sio.
Watu wamekuwa mateja kama wa madawa ya kulevya, wanasoma vitabu vya wazungu wanaishi hadi maisha ya vile vitabu vya mabeberu.
Wenzetu wazungu ni wajanja sana, wanapokuja wanakuandikia kitabu si kwamba wanakuwa wanataka ufaidike.
Wanasiri kubwa ndani ya vitabu ambayo wao huandika kwa lengo, waanajua ambacho utafanya ni kushindwa kufikiri ya kwako na kuchukua mawazo yao.
Mzungu anayeweza kukupa muongozo wa kutoka kimaisha kirahisi tu, sahau hilo, toka enzi za ukoloni mzungu amekuwa mjanja aliwadanganya wazee wetu akawapa shanga akachukua madini.
Wamefanikiwa kwa sehemu kubwa, maana wasomaji ni wengi, kuna maarifa ambayo wameyapata lakini ndani yake Yana nguvu ambazo za kishetani.
Kuna ambao wamefanikiwa kiuchumi kwa vitabu lakini wamepata mafanikio hayo kwa nguvu za giza zilizopo kwenye vitabu.
Siri nyingi za giza simewekwa kwenye vitabu ambavyo watu wanaosoma wanazipata na kuongezeka maarifa ya kishetani zaidi.
Ndio maana wasomi wengi hawaamini katika Mungu, maana wanaamini katika Yale waliyoyasoma tu na maarifa waliyoyapata kwenye vitabu.