Vita ya Sokwe 1974-78 Hifadhi ya Gombe Kigoma

FM facts

Member
Mar 16, 2019
45
88
Inaelezwa Kwamba Mwanzo Sokwe hawa Wote Walisafiri Kufika katika Hifadhi hii na walikua Kundi moja Kabla ya baadae Kutengana, Wengine Waliitawala Kusini mwa Hifadhi na Wengine Wakatawala Kaskazini mwa Hifadhi.

Baadae Mwaka 1974 Sokwe Waliingia Mapiganoni Kupigania Utawa wa Hifandhi nzima, Mapigano Yalidumu kwa Miaka 4 huku Sokwe wa Kasakela Wakishinda.

Hifadhi ya Gombe ndiyo Hifandi ndogo zaidi Tanzania na Mbali na Sokwe pia Kunapatikana Ndege, Nyoka, Viboko, Chui na Nguruwe Pori.

Hifadhi hii ipo Tangu Miaka ya 1960's, Ipo Kaskazini mwa Kigoma na Inaelezwa Sokwe Wanaoishi Katika Hifadhi hii Kwa Asilimia Kubwa sana Wanafanana Tabia na Binadamu, na Hii ni kwa Mujibu wa Utafiti Uliofanywa Jwa Miaka 40 Katika Hifadhi hiyo na Mtaalamu wa Tabia za Sokwe Dr. Jane Goodall.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao sokwe walikuwa wanatumia silaha gani?
 
Back
Top Bottom