Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Jamani huyu makonda wawapi mbna mnamkondesha zaidi kwa madongo??
Mkuu.
Jamaa ni Failure wa pale chuo cha ushirika moshi aliyeamua kujipatia mkate wake kwa kuwa mnafiq na kulamba viatu vya wana siasa.
Assume mtu ana fail kwenye chuo kama ushirika then anateuliwa kwenda kushiriki mchakato wa kutunga katiba.
What a Joke ?