Vita vya wazalendo

Vita vya wazalendo

Kimenuka na kimeumana, hii itakuwa laana ya kumpiga mangumi yule mzee wa heshima kule ubungo
 
UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.


Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo.


Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani Mwa Wazalendo Vitainua Taifa.


Hatutaacha Kupambana na WAFITINI wa TAIFA na MAFISADI eti sababu hatujui Hatma Yetu, Tunatengeneza Hatma ya Taifa halafu Hatma Yetu Itajitengeneza Yenyewe.


MUNGU IBARIKI TANZANIA

Hivi Paul Makonda umefika kisongo japo kumjulia hali aliyekuwa mzalendo mwenzio?

Kwani hata ni siri basi? Wewe, Sabaya na mwendazake (si kwa wachache) nyote mlikuwa majambazi ya kutumia silaha tu.

Bahati yenu yule jamaa aliahirisha kuny* kaburini juu, japo alikuwapo kuzima mwenge 😁😁.
 
Back
Top Bottom