Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

Na ndio hapo palipotokea ugomvi. Ila saivi wametawanyika baada ya mkuu wa polisi na mkuu wa kambi ya jeshi kuongea.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Aaah, hii ni habari mbaya..maana mie nilikua nakaa nasubiria policcm wapigwe.
 
Tatizo hata wanajeshi wanajionaga bora hawafati sheria kazi yao huwa kupiga wananchi tu tusipobadilika sasa kila mmoja atakuwa hafati sheria

Sio hawafuati sheria bali Jeshini hakuna sheria mzee ni comand tu, sheria ziko kwa polis tu na nyie raia
 
Awamu ya nne ina matatizo gani?
Maana mambo mengi mapya yanaibuka na kushika kasi katika awamu hii.
Tusipoziba ufa tutajenga ukuta
 
wapigwee tu kwani wanapopigwa raia wanakua wanakosa gani?
basi huoni au umevaa miwani ya mbao itoboe kidofo uone. juzi waandishi wamepigw walikua na kosa gani.

nasema iviii wapugwee tuuu

*Wapugwee*
 
Sasa hivi ninavyozungumza polisi wamezunguka kambi ya wanajeshi iliyopo mitaa ya Shangani. Muda mchahe uliopita polisi walijaribu kumkamata askari wa JWTZ na kuambulia kichapo kikali sasa magari karibia yote ya polisi Mtwara yameeizunguka kambi ya jeshi. Hapa serikali isipoingilia nafikiri bifu litaendelea mikoa yote! Ila polisi ndio wachokozi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums.

Unasema polisi ndo wachokozi kwa namna gani na kivipi..umekaa kishabiki zaidi kuliko kuwa ripota.
 
At least umepata courage ya kuomba msamaha kitu ambacho ni kigumu kwa wengi> By the way people, mlitaka afanyeje mnaozidi kumlaumu? maana kuna pande mbili wengine wanataka aweke na wengine asiweke. alipoamua kuanza kuweka kalaumiwa na even kukatazwa, alipoacha wengine pia wanasema hana lolote kawapotezea muda. kweli JF kiboko. kwa ufupi. mi naona alikuwa fair tu kwa kambi zote mbili hivyo mwacheni tu.

Hahaaa!huna uhakika na unachosema najua hapo umeropoka tu!kwa taarifa yako hakuna km JWTZ ukanda wote wa afrika mashariki na kati na kusini mwa jangwa la sahara ukiitoa afrika kusini!kenya ka mission kadogo tu ka kuwatoa magaidi pale westgate wamevurugana wakauana wenyewe kwa wenyewe!tafuta taarifa usimalize MB zako bure!!
 
Hizi mechi za kirafiki kwanini zisiwe official wapimane nguvu tumjue mbabe?Maana haipiti mwezi bila kuona battle za haya majeshi mawili, iwe official basi watu watwangane waheshimiane then amani irejee...
 
Ikishakuwa official itakosa mvuto, ngoja ibaki vivyo hivyo kama urafiki wa mbwa na paka aka urafiki wa mashaka
 
Sasa hivi ninavyozungumza polisi wamezunguka kambi ya wanajeshi iliyopo mitaa ya Shangani. Muda mchahe uliopita polisi walijaribu kumkamata askari wa JWTZ na kuambulia kichapo kikali sasa magari karibia yote ya polisi Mtwara yameeizunguka kambi ya jeshi. Hapa serikali isipoingilia nafikiri bifu litaendelea mikoa yote! Ila polisi ndio wachokoziSent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums.
Ha ha haaaaaa haaaa!! ni sheeeeedah JWTZ! Ni nouuumaaaaa mbaya mbofu! wakileta nyenyenyeeee fimboo chapaa!! chapa polisi imesidi kiherere!
 
Wanajeshi Wapigwe Tu. Piga hao JWTZ..... Kama wameambiwa wanabisha, Police wafanye nini? Na Watapigwa tu.



mmmmmm ki ikweli polisi wa bongo wana roho mbaya sana,nimeiona hiyo clip du aiseeee kama hawana roho.aibu sana,ila ningependa kusahihisha watu kuhusu haya majeshi,wote wanaitwa ASKARI,ila tofaiti ni kuwa askari jeshi,askari magereza,askari polisi,askari mgambo.hakuna jeshi la magareza,jeshi la polisi mnakengeuka tu kati ya solger na army
 
Last edited by a moderator:
mmmmmm ki ikweli polisi wa bongo wana roho mbaya sana,nimeiona hiyo clip du aiseeee kama hawana roho.aibu sana,ila ningependa kusahihisha watu kuhusu haya majeshi,wote wanaitwa ASKARI,ila tofaiti ni kuwa askari jeshi,askari magereza,askari polisi,askari mgambo.hakuna jeshi la magareza,jeshi la polisi mnakengeuka tu kati ya solger na army

Mkuu kwann ukiona polisi wa kutuliza ghasia wapo eneo la tukio usijiondokee tu!!!!????,sometime kama matatizo tunayatafuta hivi.

Ntaandamana niwezavyo but nikiskia king'ora taratiiib najikataa.
 
Back
Top Bottom