Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

mimi kwa leo sichangii chochote maana jana nilipigwa ban
 
Tatizo hata wanajeshi wanajionaga bora hawafati sheria kazi yao huwa kupiga wananchi tu tusipobadilika sasa kila mmoja atakuwa hafati sheria

Hii nchi imekuwa ya wavunja sheria tupu. Viongozi wanavunja sheria, wanasiasa wanavunja sheria, vyombo vya dola vinavyopaswa kulinda sheria ndio wavunja sheria wakubwa. So usitegemee wanajeshi na raia kutovunja sheria.

Vv
 
Ushauri wangu waombane vita vya kirafiki ili tujue nani mbambe...tumechoka kila mara police vs jeshi
 
sio mbaya wanafanya mazoezi ili maadui wa nchi wajue JWTZ na polisi Tz wapo kwenye chati ni mfumo mzuri tu wa kuwarm up
 
Namimi nasema,"wapigwe tu, tumeshawachoka sasa,wapigwe!"
 
A new Tanzanian dating social network. Mtandao mpya wa kijamii wa kukutanisha wapenzi wapya walio single. Wala usiangaike, Njoo ujiunge ni bure 100%, ujipatie akupendaye www.bongosingles.com . Ina vitu vyote kama fb, upload pics, music, likes, friends, chat, message na vingi tu..

Tupo instagram Bongosingles

Facebook-- https://www.facebook.com/BongoSinglesTZ

Zaidi ya watu wapya 200 wanajiunga kwa siku.

Naona mmeamua kuwa makuwadi sasa!! Hongereni
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu! Ivi haya mafujo ya mitaani ya raia kupigwa na jwtz kwenye baa na kwingineko huwa hamsikii? Jeshi la polisi linamaovu yake na jwtz pia linamaovu yake, lakini kikubwa chakutambua ni kua sio askari wote wanafanya kazi yao bila weledi. Ni kweli kuna askari polisi wanafanya upumbavu lakini upumbavu huo usifanye jeshi zima la polisi kua lakipumbavu.
Jeshi la polisi lipo kwa ajili ya ulinzi wa raia na mali zake!
 
Waache watiane adabu ndio wataheshimiana. Hawajui jukumu lao.
 
Jeshi la polisi lipo kwa ajili ya ulinzi wa raia na mali zake!
Nafikili utakuwa huitendei haki jamii kwa kusema hayi ,Jeshi la polis halipo kwa ajili hiyo ulioitaja hapo ,watu wanauliwa tena kwa risasi za moto mchana kweupe ,vibaka wamejaa kiasi ya kuunda makundi ukikutana nao umekwisha na wanatembea mchana kweupe ,polisi ukiwapigia simu kuwa kuna jambazi lenye siraha ,huoni polisi kutokeza pua mpaka wamepata fununu kuwa jambazi limekimbia !
 
mm mbona nipo karibu na kambi mbona sioni lolote hapa....au huu uzi ni lini kwanza....ni leo au wakati wa Gesi....?¿?????
 
Vikosi vya ulinzi na Usalama vipo kwenye mazoezi ya pamoja ya kawaida tu ........................Je ule upande wa baharini nako Polisi wamezunguka.................?
 
Kwa kosa gani?

wapigwee tu kwani wanapopigwa raia wanakua wanakosa gani?
basi huoni au umevaa miwani ya mbao itoboe kidofo uone. juzi waandishi wamepigw walikua na kosa gani.

nasema iviii wapugwee tuuu
 
Back
Top Bottom