Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

Wewe tangia uwe na akili hii nchi ni sheria gani ilishawahi tekelezwa kiuadilifu kuanzia ngazi za chini mpaka juu wapigwe tu kauli mbiu ya Ndugu Pinda.

Sijawahi kuonwa zikifatwa zipo tu kwenye ma book utekelezaji zero
 
Nimeandika kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu mwenyewe! Kunasehem inaitwa shangani karibu na makonde hapo kunakama kambi ambayo wanakaa wanajeshi na polisi wamezunguka baada ya mweenzao kuomba msaada

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

naipata hiyo sehemu pale sio kambi ya jeshi ni kajengo tu nadhani kuna hub ya rada ya jwtz maji,pembeni hapo ndio kuna polisi mesi ambayo sasa hivi ni makonde beach club.
 
Mwanajeshi ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au kudumu katika jeshi la polisi,jeshi la ulinzi,jeshi la magereza au jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa ibara ya 147 ya Katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977.
 
Mwanajeshi ni askari aliyeajiriwa kwa masharti ya muda au kudumu katika jeshi la polisi,jeshi la ulinzi,jeshi la magereza au jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa ibara ya 147 ya Katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977.

askari polisi,askari magereza,askari jeshi.
 
Makonde ,shangani hakuna kambi ya jeshi.Acha porojo. Huo mtaa mtulivu sana na ndo makazi ya wakubwa wengi wa mkoa na nyumba za kupanga za wazungu
 
Yule mwanajeshi wa Tarime amefukuzwa kazi leo ngoja tusikie na huyo wa huko Mtwara
 
Yeah watu wanajua mwanajeshi ndio JWTZ peke yake kumbe hata askari polisi ni mwanajeshi.

Nakushauri uishie hapohapo... kuna utofauti mkubwa sana kimafunzo kati ya mtu ambae anaenda kupambana na raia wa kawaida na mtu ambae anaandaliwa kupambana na watu waliokuwa trained kivita... usilopoke
 
Wanajeshi Wapigwe Tu. Piga hao JWTZ..... Kama wameambiwa wanabisha, Police wafanye nini? Na Watapigwa tu.

 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ki-ukweli jeshi halifuraishwi na wanachofanya polisi kuwanyanyasa raia na kutetea ccm ambayo viongozi wake wanakiri kufanya makosa na kuwaibia watanzania. Polisi wameacha wajibu wao na sasa wanatetea ccm na mafisadi watengeneze katiba yao. Bravo jeshi letu...tuteteeni....mapolissm wametuchosha!
 
Wacha wachapane tu wote hao wote ndio wanaoisaidia hii Serikali dhalimu iendelee kuwepo madarakani kwa kutumia mabavu.
 
Makonde ,shangani hakuna kambi ya jeshi.Acha porojo. Huo mtaa mtulivu sana na ndo makazi ya wakubwa wengi wa mkoa na nyumba za kupanga za wazungu

katikati ya makonde na kwa mama mtupa kuna kajengo pale nadhani kuna rada ya navy pale ndipo anapo pasema huyu dogo kua ni kambi ya jeshi.
 
umejuaje kama ndio wachokozi

huo ndio uhakika. mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. wameona raia hawatoshi sasa wanaenda ngazi ya juu zaidi kwa wanausalama wenzao. na waendelee na tabia hiyo
 
Back
Top Bottom