Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

kama ni hao policeccm nasema hivi wapigwe tu!!!
 
kukumdogo weka update mkuu,siondoki kwenye huu uzi ila risasi zikianza kimbia mbio
 
Last edited by a moderator:
Acha watwangane tu, sisi tuiokote nchi yetu kiulaini...

Kwanza jeshi la polisi nilakufumuliwa na kuundwa upya.
 
Sasa hivi ninavyozungumza polisi wamezunguka kambi ya wanajeshi iliyopo mitaa ya shangani. Mda mchahe uliopita polisi walijaribukumkamata askari wa JWTZ na kuambulia kichapo kikali sasa magari karibia yote ya polisi Mtwara yameeizunguka kambi ya jeshi. Hapa serikali isipoingilia nafikiri bifu litaendelea mikoa yote! Ila polisi ndio wachokozi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

polisi wana inferiority concept inayowasumbua na wapigwe tu.
 
Kwa kawaida mwanajeshi anatakiwa akamatwe na Millitary Police (MP) Police wa kawaida kumkamata Mwanajeshi ni kujipendekeza tu
 
Sasa hivi ninavyozungumza polisi wamezunguka kambi ya wanajeshi iliyopo mitaa ya shangani. Mda mchahe uliopita polisi walijaribukumkamata askari wa JWTZ na kuambulia kichapo kikali sasa magari karibia yote ya polisi Mtwara yameeizunguka kambi ya jeshi. Hapa serikali isipoingilia nafikiri bifu litaendelea mikoa yote! Ila polisi ndio wachokozi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

acha wauane wenyewe kwa wenyewe hao watumwa wa ccm
 
Vita ya Panzi hiyo,furaha ya Kunguru.

Zipigwe tuuu.
 
Hao ni polisiccm , yaani wapigwe tu ,hawa polisi sasa wanajiona ni wao tu kwa kuwa wanatumiwa na vigogo wanaona wanaweza kumvuluga yeyote ,embu JWTZ aka UKAWA wawatie adabu hawa manjagu mwitu.,
 
Je taarifa yako umeiprove? Magari ya polisi yaende ktk kambi ya jeshi kuleta fujo?

Polisi wana magobole yao wanayotishia mama ntilie, virungu, mishale, mabomu ya machozi, magurueti na vimbwa. Unadhani hawana akili waende wakawachokoze wenzao wenye vifaa vya kuua haraka?

JWTZ tumewapa bunduki za kivita(AK47 nk.), Scurd, vifaru na vifaa vizito vizito, na mafunzo ya KUUA ADUI unadhani polisi hawaogopi kufa?

Mambo ya jeshi yana taratibu zake, unataka mgambo akamkamate polisi? Askari magereza akamkate mwanajeshi? Mwanajeshi akamkamate rais?

Nina mashaka na ukweli wa taarifa hii

Nimeandika kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu mwenyewe! Kunasehem inaitwa shangani karibu na makonde hapo kunakama kambi ambayo wanakaa wanajeshi na polisi wamezunguka baada ya mweenzao kuomba msaada

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Sio kweli hakuna police asiyejipenda.
 
Je taarifa yako umeiprove? Magari ya polisi yaende ktk kambi ya jeshi kuleta fujo?

Polisi wana magobole yao wanayotishia mama ntilie, virungu, mishale, mabomu ya machozi, magurueti na vimbwa. Unadhani hawana akili waende wakawachokoze wenzao wenye vifaa vya kuua haraka?

JWTZ tumewapa bunduki za kivita(AK47 nk.), Scurd, vifaru na vifaa vizito vizito, na mafunzo ya KUUA ADUI unadhani polisi hawaogopi kufa?

Mambo ya jeshi yana taratibu zake, unataka mgambo akamkamate polisi? Askari magereza akamkate mwanajeshi? Mwanajeshi akamkamate rais?

Nina mashaka na ukweli wa taarifa hii

Mkuu bora ungeficha Jina lako... maana unachoongea mmh!

Hivi katika maisha yako yote unapowaona Polisi wa Tanzania huwa wamebeba Bunduki za Aina Gani? wacha nikupe Somo Bunduki za Polisi nyingi hutumia Ak 47 hivyo nazo ni za Kivita pia ndio maana hawaogopi Wanajeshi. Kufuatia Akili yako umesema Silaha za Jeshi ndizo Zinaua haraka. na za Polisi zinachelewa? kaombe wakujaribishe uone..
 
nimeandika kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu mwenyewe! Kunasehem inaitwa shangani karibu na makonde hapo kunakama kambi ambayo wanakaa wanajeshi na polisi wamezunguka baada ya mweenzao kuomba msaada

sent from my blackberry 9900 using jamiiforums

hawa police wakupigwa tu, wanatuonea sana mitaani.
 
Back
Top Bottom