katikati ya makonde na kwa mama mtupa kuna kajengo pale nadhani kuna rada ya navy pale ndipo anapo pasema huyu dogo kua ni kambi ya jeshi.
yule mwanajeshi wa jwtz aliyezipiga na polisi musoma juzi, leo amefukuzwa kazi rasmi kwa utovu wa nidhamu na mkuu wa vikosi vya kanda.. Source itv news sa 2 usiku huu
Hata mimi naunga mkono Polisi ndio Wachokozi hata kama Sijui...!
katikati ya makonde na kwa mama mtupa kuna kajengo pale nadhani kuna rada ya navy pale ndipo anapo pasema huyu dogo kua ni kambi ya jeshi.
kwa hio unatoa baraka zote wauwane?
Wakajiribu rwanda au Knya kujipima kama wapo njema.
Sasa hivi ninavyozungumza polisi wamezunguka kambi ya wanajeshi iliyopo mitaa ya shangani. Mda mchahe uliopita polisi walijaribukumkamata askari wa JWTZ na kuambulia kichapo kikali sasa magari karibia yote ya polisi Mtwara yameeizunguka kambi ya jeshi. Hapa serikali isipoingilia nafikiri bifu litaendelea mikoa yote! Ila polisi ndio wachokozi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Labda katiba mpya itawasuluhisha ugomvi wao.
umejuaje kama ndio wachokozi
Sasa wanaenda kuzunguka kambi ya Jeshi ili iweje?
kwa hio unatoa baraka zote wauwane?
ni mazoezi ya kawaida kabisa! wala msiwe na hofu. vyombo vya usalama vinajiweka sawa kupambana na uhalifu na kulinda mipaka.
naipata hiyo sehemu pale sio kambi ya jeshi ni kajengo tu nadhani kuna hub ya rada ya jwtz maji,pembeni hapo ndio kuna polisi mesi ambayo sasa hivi ni makonde beach club.