Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

Vita vya polisi na JWTZ vimehamia Mtwara

kiukweli ni aibu sana kwa nchi inatuletea sifa mbaya ,sisi raia tunajifunza nn kwao walinzi wetu,lakin ninavyofahamu hata katka jamii kama vijana wanakaa saana vijiwen kinachofuata baazi yao huingia katika makundi mabaya,nafikili hawa jamaa kukaa tu makambini nitatzo hebu nanapata mafunzo halafu hawaoni wanayatumia vipi serikali iwatoe wakasaidie vita huko kwa wenzetu,maana tunawaona wengi tu mitaani sasa wanawashwa?
 
mmmmmm ki ikweli polisi wa bongo wana roho mbaya sana,nimeiona hiyo clip du aiseeee kama hawana roho.aibu sana,ila ningependa kusahihisha watu kuhusu haya majeshi,wote wanaitwa ASKARI,ila tofaiti ni kuwa askari jeshi,askari magereza,askari polisi,askari mgambo.hakuna jeshi la magareza,jeshi la polisi mnakengeuka tu kati ya solger na army

Na wanamatawi yao mfano policejamii, sijui hawa wengine
 
Police kuizunguka kambi ya jeshi si sahihi,hapa umeripoti kishabiki!!!!
 
Kwa kawaida mwanajeshi anatakiwa akamatwe na Millitary Police (MP) Police wa kawaida kumkamata Mwanajeshi ni kujipendekeza tu

Huyo MP amkamate mwanajeshi kwa makosa gani ya jinai au makosa ya kinidhamu ndani ya jeshi,
Mamlaka ya ukamataji amepewa askari wa polisi tu na hana mipaka ya kukamata pale inapobidi
 
Back
Top Bottom