Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,492
..hii habari aliituma X-PASTER hapa jamii forums.
Jokakuu:
Hata nikiwatendea haki waliomwaga damu, ukindoa zana za mrusi zilizokuwepo pande zote mbili utabakiwa na mishale tu.
..hii habari aliituma X-PASTER hapa jamii forums.
ZK na NN tatizo lenu mko huko kwenye maboksi, wenzenu tunaadhimisha miaka 45 ya Jeshi letu sisi Wananchi. Na pia kuisha kwa Vita vya Kumtoa Nduli Idi Amini Dada. Hiyo haikuwa vita kati ya Tanzania na Uganda bali vita kati ya Wananchi Wazalendo wa Tanzania na Uganda dhidi ya Nduli.
Majuma machache yaliyopita tuliangalia mkanda mzito kuhusu mpambano huo, hasa hilo Vagi la Lukaya lililowaacha hoi watoto wa Kanali Kadafi. Vita sio jambo la kuliombea. Ni balaa linalopaswa kuepukwa kwa njia yoyote ile. Ila ikilazimu basi tunaishia kuungana na Mwalimu wetu Mkuu kusema kwa msisitizo:
NIA YA KUMPIGA TUNAYAYO.SABABU YA KUMPIGA TUNAYO. UWEZO WA KUMPIGA TUNAO - TUTAMPIGA...!
Hilo nalo unaliita jeshi? Ungesema militia ningekusikiliza. Eti jeshi letu...ahahahahahahahaaa....mgambo tu hao ndugu
1979: Watanzania wenzangu hali ya uchumi ni mbaya sana, tufunge mikanda itatuchukua miezi 18.
1980: Watanzania wenzangu hali ya uchumi ni mbaya sana, tufunge mikanda itatuchukua miaka 18.
Wakati wa vita majenerali wakuwa wanavitambi hao utafikiri captain Komba.
MBONA,idi amin nae alidai kwamba tanzania ilikuwa inasaidiwa na mercenaries na akaonyesha maiti ya mwanajeshi mzungu!!!!
Kama wiki mbili au tatu zilizopita moja ya hizi newsmagazines za jumapili, 60 Minutes kama sikosei, walii profile ile ndege ya kivita inayoruka yenyewe kwa remote control aka drone. Unacheki wenzetu walipofikia? Siku hizi hawapigani kutumia watu tena....ni miroboti tuu
nini drone,tomhawk cruise missile lilikuwa linaelekea baghdad,likawa limepotea jangwani,bahati nzuri likawaona mabedui wanachunga mbuzi,likapunguza mwendo na kuwauliza kwa kiarabu,baghdad iko wapi?kuelekezwa tu likageuza njia na kuelekea baghdad.hii kitu ikiwa usawa wa ardhi inaheshimu hata traffic lights by stopping at red lights
Duh! Sasa hii kali ya kufungia wiki....Lol
Son of Alaska said:MBONA,idi amin nae alidai kwamba tanzania ilikuwa inasaidiwa na mercenaries na akaonyesha maiti ya mwanajeshi mzungu!!!!
can an aircraft carrier like eg the NIMITZ,on its own force tanzania on her knees
jokakuu na companero,hakuna cha central command wala better military planners,what played in our hands ni askari wa idi amin were a disillusioned lot,again history has concluded that this was no war but a PETTY squirmish
according to JANES defence weekly,a magazine of repute in war matters.LOGISTICS cost tanzania more money then the war itself