Vita vya Kagera tulipigana na Libya (Gadafi)

..Gaddafi alishaomba radhi na tukamrudishia mateka wa Kiarabu waliokamatwa vitani.

..vilevile yeye na Mwalimu walifikia kuwa marafiki na Gaddafi ametoa msaada mkubwa sana kwa Waislamu wa Butiama.

..pia Libya imetusaidia Tanzania kwa wakati mbalimbali.

Beggar mentality. Poor and f***sh Tanzanians.
 
msikiti.JPG

miongoni mwa "zawadi" za gaddafi kwa tanzania, huu ni msikiti mkubwa kuliko yote tanzania, unaitwa masjid al-gaddafi upo dodoma
 
..Gaddafi alishaomba radhi na tukamrudishia mateka wa Kiarabu waliokamatwa vitani.

..vilevile yeye na Mwalimu walifikia kuwa marafiki na Gaddafi ametoa msaada mkubwa sana kwa Waislamu wa Butiama.

..pia Libya imetusaidia Tanzania kwa wakati mbalimbali.

Huo ndio miongoni mwa utu wa mwalimu Nyerere baadaye alimwambia Gadafi kwamba Waislamu wa Butiama hawana msikiti wanatangatanga na kumuomba awape msaada. Ule msikiti wa kisasa pale Butiama kwa Mwalimu ndio matunda ya kusamahe. Tukio hili pia linaonyesha jinsi Nyerere asivyokuwa mtu wa kutoa maamuzi ya udini. Kama mwalimu angekuwa ameweka moyoni kwamba Gadafi aliingia vitani kumsaidia Idd Amini kwa sababu ya dini pengine msikiti huo usingejengwa Butiama na Gadafi.
 
Back
Top Bottom