Salamu hiyo haijaanza leo wala jana, bali hata Yesu mwenyewe aliitumia, soma Yohana 20:21 - Yesu akawaambia tena, “Amani iwe nanyi. Kama Baba alivyonituma, mimi pia nawatuma ninyi.Ulivo anza tu na hiyo salam nimekata.
Jifunzeni kuongea na jamii ya watu walio na makuzi na mitazamo tofauti ya kidini..
Hivi Mzee huwezi sema habari ya muda huu ndugu mtazamaji?
Hiyo Amani iwe nanyi ndiyo hiyo "Assalaam alaykum".