Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,032
- 2,769
Naipongeza sana uk,na usa ,kwa uamuzi sahihi wa kuidhibu Yemen kwa sababu ya upuuzi wanaoufanya red sea ! Yemen inaweza kuwa imejificha nyuma ya hili kundi la houth! Yemen ndio imetoa baraka zote kwa hili kundi la kigaidi kuzuia misafara ya meli zenye bidhaa mbalimbali kutoka ulaya kuja afrika na kutoka afrika kwenda ulaya! Hawa Yemen walichokusudia ni kuisababishia hasara kubwa afrika hasa kwa wafanyabiashara wanaoagiza bidhaa zao nje ya nchi ,bidhaa nyingi sana zitapanda Bei na uchumi wa nchi zetu unaweza kutetereka ,na hofu kubwa kwa wafanyabiashara kupoteza shehena zao pamoja na wamiliki wa meli zenyewe ! Afrika ni wakati sasa kuungana na uk,usa,kuichakaza Yemen ..kwa sababu Yemen imepakana na baadhi ya nchi za kiafrika ,majeshi yetu yaingie kupitia milango hiyo ndani ya dakika 30 ,Yemen haitakuwepo katika ramani ya dunia ,over!