Vita takatifu. Ni nini hiki?

Vita takatifu. Ni nini hiki?

Na ndio maana ikashuka QURAN ukichunguza kwa umakini utagundua ujio wa biblia unashawishi kuwepo kwa miungu mitatu...hali kama biblia ingekuwa inafundisha MUNGU mmoja Qur'an isingeshushwa...hakuna kitu anachochukia MUNGU na hatosamehe kama kusema kuna anaeshirikiana nae kwenye cheo chake.(yeye hasaidiani uwezo ni wake pekee)

Mungu baba.
Mungu mwana.
Na roho mtakatifu.

Anakasirika mno[emoji116]

Kwani yeye anajitosheleza hana mshirika kabisa.
Na mbona yeye hataki kujitanabaisha yeye kama yeye badala yake anajificha kwenye wingi na si umoja ""eti tumeumba mbingu na ardhi na vilivyomo"
 
Sio Tatu ni UTATU [emoji15] nionyeshe aya hata Moja unaposema Wakristo wana miungu watatu...kwa njia ya UTATU Tunampwekesha Mwenyezi [emoji123] [emoji106] mungu yeyote ambaye hawezi kihivyo si Muweza ni fake [emoji12]
 
Sasa mbona hajitanabaishi yeye kama yeye na badala yake anajificha kwenye kichaka cha wingi yani ina maana yeye hataki watu wamjue wamtambue yeye kama yeye kwanini anakimbilia kwenye huu sisi na si huumimi
Ukitaka umuone kimwili au phyiscal utasubiri sana mungu ni roho
Siku ukifa utaanza maisha ya rohoni ndo utajua mungu ni nani
 
Kama atakalo huwa na hana mshauri vip alimuumba shetani kisha shetani akamuasi huoni kama alivyotaka iwe haikuwa vile alivyotaka mkuu????
Hivi shamba ni langu nimepanda, nyanya, mihogo, bange...wewe uhoji kwa nini nimepanda bange [emoji15] [emoji12] lako???
 
Kwanini aruhusu izo miungu wengine wawepo lengo la yeye kuumba izo contradictions kibao nini yani kwanini umzae mwanao kisha umwekee mitego na mitihani kibao ili mwanao anaswe na iyo mitihani???
Binadamu aliumbwa na akawekwa huko mbinguni akapumzika vizuri kabisa.
Mbinguni ni sehemu inayoheshimika mno,kumbuka yeye mwenyewe binadamu ndie aliefanya fujo huko...mwishowe akafukuzwa.

Kumbuka binadamu ana akili kwanini asiitumie?

Je angenyimwa ingekuwaje.
Ona hao wanyama wamenyimwa wana raha gani?

Na ndio maana Mungu anasema kwa hakika binadamu ni dhalimu na anaidhulumu kabisa nafsi yake.

Sisi ni viumbe bora kabisa kuliko malaika, kwani sisi tuna akili na matamanio.

Malaika hana matamanio hana uwezo wa kufanya tendo la ndoa na mwanamke,ila sisi tumepewa.

Je! Haushukuru?
 
Hivi shamba ni langu nimepanda, nyanya, mihogo, bange...wewe uhoji kwa nini nimepanda bange [emoji15] [emoji12] lako???
Nilijua kuwa utaufikia ukomo wa elimu yako na maarifa yako kisha utakuwa mbogo kama ivi nashukuru kwa kunidhihirishia tena kwamba mnaongeaga vitu msivyovijua walamsivyoweza kuvithibitisha apa ndo nilipokuwa nakusubiri.

Kifupi iko ivi mungu alimuumba shetani alafu ghafla shetani akamzidi ujanja mungu na kumgomea,
 
Mkuu nimekuelewa mapema sana ulichoandika na nakuunga mkono kwa asilimia 100++ HAKUNA VITA TAKATIFU kama deen ya kiislamu unavyo dai[emoji12] sababu kuu Mungu hayajaruhusu kuua kama ktk Maamrisho yake [emoji120]
Punguza mihemko na ushabiki wa kidini kwani hujamuelewa mtoa mada nini anamaanisha
Sasa mbona unaleta ufia dini
Muda mwingine ficha upumbavu wako
 
Sio Tatu ni UTATU [emoji15] nionyeshe aya hata Moja unaposema Wakristo wana miungu watatu...kwa njia ya UTATU Tunampwekesha Mwenyezi [emoji123] [emoji106] mungu yeyote ambaye hawezi kihivyo si Muweza ni fake [emoji12]
Uislamu unasema hivi.

Na kwa hakika hakukuwa na tofauti katika mitume tuliowatuma,tuliwaambia waseme"MUNGU ni mmoja muabuduni yeye peke yake.

Pia[emoji116]
Kuna sura kwenye Qur'an inasema.

Sema"ewe Muhammadi
MUNGU ni mmoja,na yeye ndie mwenye kuabudiwa"hakuzaa na wala hakuzaliwa na hakuna mfano wake.

Nabii Musa pia hivyohivyo na wengine.

Ukiangalia kwa umakini utagundua mambo ambayo wanafanya wakristo sasa ndio ambayo walikuwa wanafanya waislaeli zamani.

MF:
Musa alikuwa anaenda kuchukuwa amri kwa MUNGU mwishowe wakaleta ushindani hatukusikilizi Musa mpaka huyo MUNGU wako tumuone,

Nadhani kilichowatokea unakijua,haikuwa utukufu wa MUNGU aonekane na binadamu milima ilipasuka wakakimbia wote.

Utatu umekuja baada ya yesu kutaka kuuwawa na wayahudi kwa kuwa hawakutaka mambo yake,

Cha msingi soma vizuli Qur'an kisha biblia kwa umakini uone.

HUO UTATU MUNGU HAUITAJII ANAJITOSHA YEYE KAMA YEYE...kwanini awe na utatu?wakati karne zote yeye analeta mitume wamtangaze kuwa yeye ni mmoja?
 
Mkuu nimekuelewa mapema sana ulichoandika na nakuunga mkono kwa asilimia 100++ HAKUNA VITA TAKATIFU kama deen ya kiislamu unavyo dai[emoji12] sababu kuu Mungu hayajaruhusu kuua kama ktk Maamrisho yake [emoji120]
Aaamen... Inshallah ustadh...!!!
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa, maarifa

Humu jukwaani kuna watu wengi sana wanapinga uwepo wa mungu
Ki ukweli wamekosa maarifa
Hapana hawapingi uwepo wa mungu.... Bali wanapinga uwepo wa Mungu mmoja
 
Na mbona yeye hataki kujitanabaisha yeye kama yeye badala yake anajificha kwenye wingi na si umoja ""eti tumeumba mbingu na ardhi na vilivyomo"
Ngoja nikukumbushe jambo:

Huko juu nimeandika kuwa"namna ambavyo wanapinga wasio waislamu wa sasa ni sawasawa na wale ambao ni makafiri wa zamani wakati wa zama za Nabii Mussa:[emoji116]

Mfn:
MUNGU anasema,hauji muujiza lazima adhabu itafata mbele yake.

Sasa basi,Musa alipotumwa aende kwa firauni nae pia alipewa muujiza wa.

Fimbo kuwa nyoka.
Mkono kuwa mweupe kama mwezi nk.

Lakini watu wake ambao alitumwa akawaongoe wengi wao walimwita mchawi.

Na walimkubali wachache mno.

Hata hapa wewe unaganda kwenye neno sisi[emoji116]
Hata hapo MUNGU angetumia neno Mimi pia ungehoji,hukumbuki Musa nae walimuhoji?

Naamini Mimi naandika hapa ila hamtafakari hata kidogo haya niyaandikayo.[emoji116]

MUNGU anasema tena,hao wasioamini hutafuta katika Qur'an maneno yenye utata kupotosha maneno ili wabaki tu kwenye imani zao.

Narudia:
Qur'an imeshuka kwa lugha ya kiarabu ili iwe nyepesi kusomeka...katika fasili za lugha MUNGU hutumia neno sisi kama kuonyesha ukubwa na utawala wake mbinguni...kuenea kwa nguvu zake.
 
Na ndio maana ikashuka QURAN ukichunguza kwa umakini utagundua ujio wa biblia unashawishi kuwepo kwa miungu mitatu...hali kama biblia ingekuwa inafundisha MUNGU mmoja Qur'an isingeshushwa...hakuna kitu anachochukia MUNGU na hatosamehe kama kusema kuna anaeshirikiana nae kwenye cheo chake.(yeye hasaidiani uwezo ni wake pekee)

Mungu baba.
Mungu mwana.
Na roho mtakatifu.

Anakasirika mno[emoji116]

Kwani yeye anajitosheleza hana mshirika kabisa.

Hapana Zulkifu hakuna miungu mitatu/watatu bali ni nafsi tatu katika mwili mmoja... Kila mmoja wetu ana nafsi tatu ME MYSELF AND I...
1. Nafsi roho
2.Nafsi mwili
3. Nafsi hai/uhai... Nafsi utambulisho....
Kuna mada ya vivuli vitatu hebu kaisome
Na hata katika uumbaji kuna
Mbingu
Ardhi
Maji
 
Qur'an imekuja kubainisha haya,hivi mungejuaje kama kitabu kimechezewa?
IMG_20180610_200623.jpg
 
Uislamu unasema hivi.

Na kwa hakika hakukuwa na tofauti katika mitume tuliowatuma,tuliwaambia waseme"MUNGU ni mmoja muabuduni yeye peke yake.

Pia[emoji116]
Kuna sura kwenye Qur'an inasema.

Sema"ewe Muhammadi
MUNGU ni mmoja,na yeye ndie mwenye kuabudiwa"hakuzaa na wala hakuzaliwa na hakuna mfano wake.

Nabii Musa pia hivyohivyo na wengine.

Ukiangalia kwa umakini utagundua mambo ambayo wanafanya wakristo sasa ndio ambayo walikuwa wanafanya waislaeli zamani.

MF:
Musa alikuwa anaenda kuchukuwa amri kwa MUNGU mwishowe wakaleta ushindani hatukusikilizi Musa mpaka huyo MUNGU wako tumuone,

Nadhani kilichowatokea unakijua,haikuwa utukufu wa MUNGU aonekane na binadamu milima ilipasuka wakakimbia wote.

Utatu umekuja baada ya yesu kutaka kuuwawa na wayahudi kwa kuwa hawakutaka mambo yake,

Cha msingi soma vizuli Qur'an kisha biblia kwa umakini uone.

HUO UTATU MUNGU HAUITAJII ANAJITOSHA YEYE KAMA YEYE...kwanini awe na utatu?wakati karne zote yeye analeta mitume wamtangaze kuwa yeye ni mmoja?

Mkuu hii ni khutba unayo imwaga humu ambayo umekaririshwa na maalim wako...nimekuomba unewekee ayat.1 moja inayosema Wakristo wana Mungu watatu...kama huna ni kusema hakuna...mbona Muhammad alielewa lugha Imani ya Wakristo hadi akawapa darja la Usomi na ucha Mungu [emoji117]
4bb92e2559f8032309de4dfab2bf81d9 (1).jpg
hadi allah analinda Makanisa [emoji117]
22-surah-al-hajj-the-pilgrimage-41-728.jpg
na amewaagiza mviamini Vitabu vyao [emoji117]
19023a1c97ffe0cc8a8c43540827981b.jpg
au kauli ya Allah kwa kunywa cha Muhammad huiamini??
 
Hapana Zulkifu hakuna miungu mitatu/watatu bali ni nafsi tatu katika mwili mmoja... Kila mmoja wetu ana nafsi tatu ME MYSELF AND I...
1. Nafsi roho
2.Nafsi mwili
3. Nafsi hai/uhai... Nafsi utambulisho....
Kuna mada ya vivuli vitatu hebu kaisome
Na hata katika uumbaji kuna
Mbingu
Ardhi
Maji
Angalia namna ambavyo MUNGU anavyochukia inaposemwa ana mwana au hiyo nafsi nyingine.
IMG_20180610_201557.jpg
 
Mada imekuwa ngumu kueleweka kwa wengi... Na wengi. Hebu tujitoe kwenye vifungo vya nira za kidini hizi za kuletewa... Tubaki na ulimwengu wa roho katika utimilifu wa utakatifu... Tusome tena tafsiri za vita na utakatifu mwanzoni mwa mada kisha hitimisho
 
Hapo mkuu tumekuacha kidogo pole bhana..[emoji23]
 
Mkuu hii ni khutba unayo imwaga humu ambayo umekaririshwa na maalim wako...nimekuomba unewekee ayat.1 moja inayosema Wakristo wana Mungu watatu...kama huna ni kusema hakuna...mbona Muhammad alielewa lugha Imani ya Wakristo hadi akawapa darja la Usomi na ucha Mungu [emoji117] View attachment 799652 hadi allah analinda Makanisa [emoji117] View attachment 799653 na amewaagiza mviamini Vitabu vyao [emoji117] View attachment 799661 au kauli ya Allah kwa kunywa cha Muhammad huiamini??
Kaka wakristu hawana miungu watatu.
 
Back
Top Bottom