ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,260
Zen binadamu kwa binadamu wakisha kuwa na chuki wenyewe kwa wenyewe yeye anafaidika na nini mkuu???Binadamu
Zen binadamu kwa binadamu wakisha kuwa na chuki wenyewe kwa wenyewe yeye anafaidika na nini mkuu???Binadamu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namlaumu shetani kwanini hakumchapa Mungu mpaka akome!.
Ili upate akili ya kukunja mkono ni lazima upatwe na kitu kiitwacho chuki sasa swali langu ni kwanini aliamua kuiumba chumki kwa faida ya nani aliiumba chuki kwa lengo lipi aliiumba chuki na yeye kama yeye inamsaidia nini au inamfaidisha na nini zaidi ya kuwaumiza binadamu ambao ni viumbe wake wapendwa??Kaumba mkono kwa ajili ya kukusaidia kuishi vizuri,ila wewe mkono unaukunja na kutengeneza ngumi,umtandike nayo mtu ajisikie,hapo utauliza pia kwa nini aliumba mkono unaoweza kutengenezea ngumi na utataka kumlaumu!..
Kwanini hakuona kuwa ni vyema kuumba upendo peke yake mpaka akaona bora awaumbie binadamu chuki ili waje wauwane ???Chuki ni kinyume cha upendo..
Hakuna kitu kama hicho. Hawa watu wa dini mumiani tuTakbir!?
Neno vita lina tafsiri moja tuu...! Ugomvi.. Penye vita hapana patano, hapana amani... Penye vita pana uharibifu wa mali na roho, majeruhi, ulemavu na vifo... Vita vinaharibu na kusambaratisha... Vita sio kitu chema! Vita sio kitu cha kujivunia... Vita ni uasi na kisasi... Vita ni ubabe na unyama...
Neno takatifu linatokana na neno utakatifu... Yaani njema, safi isiyo na mawaa, nzuri ya kutukuka... Isiyoangamiza inayoleta uhai... Yaani utakatifu ni jambo jema tena la kheri kabisa... Mikono ya mtakatifu ni safi na hainuki damu na mauaji kama mikono ya bwana vita! Penye utakatifu pana neema, hapana baya wala kisasi! Pana amani hapana taharuki.....
Mkanganyiko mkubwa unatokea pale unapotaka kuchanganya haya maneno mawili... Halafu yalete tafsiri isiyotatiza! VITA TAKATIFU...!
Misahafu ya dini zetu zote imeandika sana habari hizi... Habari za vita takatifu... Mapigano makubwa yaliyoangamiza roho nyingi na ushindi dhidi ya walioshindwa
Vita takatifu ni vita ya kiimani wema dhidi ya ubaya... Dhuluma dhidi ya usawa.. SHETANI dhidi ya MUNGU! vita takatifu ni vita ya imani kwenye ulimwengu wa roho... Sio vita ya macho..... Vita ya macho na kubeba silaha nzito sio vita takatifu... Vita takatifu silaha yake ni imani... Imani kuu kwa hakika.. Na ni vita inayopiganwa na WAAMINI dhidi ya .... WASIOAMINI.....
Kwanini sasa kuwe na vita inayoangamiza miili ya wanadamu, kuijeruhi, kuitia ulemavu na hata kuiangamiza? Kwanini iwepo vita inayoharibu mali na ustawi wa jamii ya nyama na damu? Na kwanini vita kama hiyo iitwe TAKATIFU? Utakatifu wake uko wapi?
Ulimwengu wa roho ndio injini kuu ya nishati inayoendesha ulimwengu unaoonekana kwa macho... Na ulimwengu huu wa roho ni timilifu... Hauna kasoro... Utimilifu wa ulimwengu wa roho ndio utakatifu.... Sasa ni katikati ya utimilifu huo wa roho na utakatifu wake... Ndio hutokea nguvu kinyume inayojaribu kuyumbisha ama kuangamiza roho timilifu katika utakatifu wake!
Hapa ndio tafsiri ya vita takatifu inapokuja... Vita ya kiimani iliyoanzia mapigano kwenye ulimwengu wa roho bila damu, bila... viasili vya mwili uharibikao...
kila roho inayoangamia kwenye vita takatifu ni ishara na ushindi kwa upande mmoja.... Na roho zote tarajiwa zinapoondoshwa kwenye mwili wa damu na nyama vita hukoma na kuanza kutafuta patano la amani mezani kwa njia ya mazungumzo... Bila silaha tena.....! Suluhu ya vita yoyote huishia kupatanishwa mezani... Na hapa ndio nguvu ya utimilifu wa ulimwengu wa roho katika dhana ya utakatifu inapojidhihiri....
Hivyo wapendwa vita takatifu kwa kigezo cha dini ni maneno yaliyopotoshwa ama kutumiwa na kaliba fulani hapa duniani kukidhi matakwa ya viumbe fulani
View attachment 799385
walahi hatukubali!Takbir [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu usimlishe maneno mshana,kasema hakuna vita vitakatifu vinavyopiganwa kwa jinsi ya mwiliAya mambo ndo maana watu wakihoji nyie kina mshana mnaishia kututolea vifungu vya kirumi vile vyenye kututishia maisha na kutaka tuendelee kubaki ndimani ya box..
Mungu mwenye upendo, mwenye uweza wa kila kitu, mwenye hekima na busara ajabu, mwenye huruma ya ajabu. akatoa boko akaruhusu vita takatifu iwepo wauawe wazee wabibi watoto na wamama wasio na hatia daaa Mungu huyu
Aaaaaaah!! Mkuu wewe umetisha na umeniacha hoi!!!!Namlaumu shetani kwanini hakumchapa Mungu mpaka akome!.
Aaaaaaah!! Mkuu wewe umetisha na umeniacha hoi!!!!Namlaumu shetani kwanini hakumchapa Mungu mpaka akome!.
Hata ww unaweza kumgomea kumuheshimu mkuu,hulazimishwiKwanini aumbe kiumbe(shetani) kisha kimzidi uwezo kwa kukataa kumtii yani uumbe kitu kisha kikatae kiwe na uwezo wa kukugomea lkn wengine wasikugomee huoni kuwa icho kimoja kitakuwa kina uwezo zaidi???
Hata ww unaweza kutokomtii mkuu,uamuzi ni wakoKwa nini ibilisi asitii amri ya muumba wake? Huoni kuwa Mungu alifeli mtihani kwa kuumba viumbe ambao walikataa kumtii?
Aaaaaaah!! Mkuu wewe umetisha na umeniacha hoi!!!!Namlaumu shetani kwanini hakumchapa Mungu mpaka akome!.
Badala yake ungeuliza,nini chimbuko la chuki?Kwanini iyo chuki hasingeiumba yaani kitu kiitwacho chuki kisingekuwepo binadamu angeitoa wap je hakuona kuwa ni vyema kutokuiumba???
Mkuu uwe unasoma na uelewe nilichoandika soma tena utaelewaMkuu usimlishe maneno mshana,kasema hakuna vita vitakatifu vinavyopiganwa kwa jinsi ya mwili
Binadamu hana uwezo wa kumgomea mwenyezi mungu ndo siku ya kufa ikifika hakuna anayeweza kugoma kufa japo kama tungepewa option ya kuchagua hakuna ambaye angechagua kufa ivyo binadamu hawezi kumgomea mungu lkn shetani alimgomea na bado anaendelea kumgomea ndo mana hajafa mpaka leoHata ww unaweza kumgomea kumuheshimu mkuu,hulazimishwi
Mkuu soma uelewe mada ilipoanzia ili ilo chimbuko la chuki lipatikane, ni mpaka iyo chuki yenyewe iwe created sasa kama isingekuwa created vip ilo chimbuko ungelitoa wapi???Badala yake ungeuliza,nini chimbuko la chuki?
So the qst is why alichagua kuiumba chuki na kuileta kwa wanadamuBadala yake ungeuliza,nini chimbuko la chuki?
Labda nikujibu kwa ujumla:Zen binadamu kwa binadamu wakisha kuwa na chuki wenyewe kwa wenyewe yeye anafaidika na nini mkuu???