Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,670
- 860,997
- Thread starter
- #101
Hii ipo kidini zaidi kuliko kiimani katika utimilifu wa utakatifu, utakaso katika ulimwengu wa roho.. Pengine sijaeleweka..Angalia namna ambavyo MUNGU anavyochukia inaposemwa ana mwana au hiyo nafsi nyingine.View attachment 799664
Pamoja na umaarufu wa dini na ufuasi wake.. Lakini kiroho dini ni segiment ndogo sana katika vast meaning of spiritual world in its perception n perfection
Nimetoa mfano rahisi wa vita kwamba watu watapigana vita na kuuana sana lakini mwisho wa siku watarudi kwenye meza ya mazungumzo na kupatana.... Je unanielewa hapa?