Vita takatifu. Ni nini hiki?

Vita takatifu. Ni nini hiki?

Labda nikujibu kwa ujumla:

MUNGU anasema hivi[emoji116]
Tumeumba mbingu na ardhi na vilivyomo na tukampa binadamu akili ya kutambua haki ili tuweze kufanyia mtihani.

Vitabu vikasema:
Usiibe
Usiuwe
Usighadhibike nk.

Hivi hapo kuna maswali kweli?
[emoji115]
Vita vya kiroho ndo vinaongelewa apa
 
Labda nikujibu kwa ujumla:

MUNGU anasema hivi[emoji116]
Tumeumba mbingu na ardhi na vilivyomo na tukampa binadamu akili ya kutambua haki ili tuweze kufanyia mtihani.

Vitabu vikasema:
Usiibe
Usiuwe
Usighadhibike nk.

Hivi hapo kuna maswali kweli?
[emoji115]
Tumeumba mbingu na ardhi na vilivyome yeye aliviumba na nani mkuu wakati mnasema kuwa yeye ni mwanzo na ndo mwisho
 
Tumeumba mbingu na ardhi na vilivyome yeye aliviumba na nani mkuu wakati mnasema kuwa yeye ni mwanzo na ndo mwisho
MUNGU hutumia sifa ya neno sisi au tumemtuma,au tumeteremsha.

Lengo la hayo maneno ni kuonyesha nguvu alizonazo.
Ukubwa alio nao ni sifa ya usemaji katika lugha na usemaji na yeye kuonyesha ukubwa wake na nguvu zake.
 
walahi hatukubali!
Hapana sina upande... Ni mada huru.. Nimehoji uhalisia wa kinachoitwa vita takatifu... Tukiweza kutoka kwenye vifungo vya nira za kidini na pengine kiimani. Tunaweza kutanzua kitendawili kikubwa mno...
Najaribu sana kuamsha mijadala ambayo kwa sehemu kubwa tusichangie kufuata links za wazungu,,zimejaa udanganyifu and they are so biased
 
Umedadavua vyema,isipokuwa watu wanataka ueleze wanavyotaka wao,binafsi nimekuelewa sana,kwamba vita zinazopiganwa kwa jinsi ya mwili ni kwa manufaa ya kimwili na kamwe haviwezi kuitwa vita vita takatifu,meaning hakuna ''vita takatifu'" kwa jinsi ya mwili,
Asante sana nilijua tu atatokea mmoja ama wachache wa kunielewa, japo natambua fika ugumu wa mada husika
 
Hapana sina upande... Ni mada huru.. Nimehoji uhalisia wa kinachoitwa vita takatifu... Tukiweza kutoka kwenye vifungo vya nira za kidini na pengine kiimani. Tunaweza kutanzua kitendawili kikubwa mno...
Najaribu sana kuamsha mijadala ambayo kwa sehemu kubwa tusichangie kufuata links za wazungu,,zimejaa udanganyifu and they are so biased
Mkuu nimekuelewa mapema sana ulichoandika na nakuunga mkono kwa asilimia 100++ HAKUNA VITA TAKATIFU kama deen ya kiislamu unavyo dai[emoji12] sababu kuu Mungu hayajaruhusu kuua kama ktk Maamrisho yake [emoji120]
 
MUNGU hutumia sifa ya neno sisi au tumemtuma,au tumeteremsha.

Lengo la hayo maneno ni kuonyesha nguvu alizonazo.
Ukubwa alio nao ni sifa ya usemaji katika lugha na usemaji na yeye kuonyesha ukubwa wake na nguvu zake.
So kumbe Mungu si mmoja bali kuna miungu wengi au????
 
So kumbe Mungu si mmoja bali kuna miungu wengi au????
Hapana:
MUNGU ni mmoja,hata yeye kwenye Qur'an anasema"anachukia sana kitendo cha binadamu kuabudu asiekuwa MUNGU kwani kama kungekuwa na miungu wengine.[emoji116]

Mbingu ingepasuka na hata nidhamu ya jua ingebadilika kwani hao miungu wangekuwa wanagombana.

Lakini kwa kuwa MUNGU ni mmoja ndio maana dunia na jua au mwezi viko katika utaratibu usiobadilika.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa, maarifa

Humu jukwaani kuna watu wengi sana wanapinga uwepo wa mungu
Ki ukweli wamekosa maarifa
 
Hapana:
MUNGU ni mmoja,hata yeye kwenye Qur'an anasema"anachukia sana kitendo cha binadamu kuabudu asiekuwa MUNGU kwani kama kungekuwa na miungu wengine.[emoji116]

Mbingu ingepasuka na hata nidhamu ya jua ingebadilika kwani hao miungu wangekuwa wanagombana.

Lakini kwa kuwa MUNGU ni mmoja ndio maana dunia na jua au mwezi viko katika utaratibu usiobadilika.
Sasa mbona hajitanabaishi yeye kama yeye na badala yake anajificha kwenye kichaka cha wingi yani ina maana yeye hataki watu wamjue wamtambue yeye kama yeye kwanini anakimbilia kwenye huu sisi na si huumimi
 
Ndio miungu ni wengi ila anae paswa kuabudiwa kwa Haqi ni Mmoja!
Kwanini aruhusu izo miungu wengine wawepo lengo la yeye kuumba izo contradictions kibao nini yani kwanini umzae mwanao kisha umwekee mitego na mitihani kibao ili mwanao anaswe na iyo mitihani???
 
Na ndio maana ikashuka QURAN ukichunguza kwa umakini utagundua ujio wa biblia unashawishi kuwepo kwa miungu mitatu...hali kama biblia ingekuwa inafundisha MUNGU mmoja Qur'an isingeshushwa...hakuna kitu anachochukia MUNGU na hatosamehe kama kusema kuna anaeshirikiana nae kwenye cheo chake.(yeye hasaidiani uwezo ni wake pekee)

Mungu baba.
Mungu mwana.
Na roho mtakatifu.

Anakasirika mno[emoji116]

Kwani yeye anajitosheleza hana mshirika kabisa.
 
Kwanini aruhusu izo miungu wengine wawepo lengo la yeye kuumba izo contradictions kibao nini yani kwanini umzae mwanao kisha umwekee mitego na mitihani kibao ili mwanao anaswe na iyo mitihani???
Utakalo huwa na hana MSHAURI [emoji123] [emoji106]
 
Utakalo huwa na hana MSHAURI [emoji123] [emoji106]
Kama atakalo huwa na hana mshauri vip alimuumba shetani kisha shetani akamuasi huoni kama alivyotaka iwe haikuwa vile alivyotaka mkuu????
 
Hii mada ni ngumu sana kwa kuwa inahusu ujuzi wa kisheria na ilmu kubwa sana.

Labda nifafanue kidogo:
Hapa duniani kuna vitu viwili ambavyo vinapinzana.[emoji116]

Binadamu na MUNGU.
Kama unaamini kuna dini lazima utaamini kuna vitabu vya dini.

Binadamu baada ya kuletwa hapa duniani yaani zama za Adam na Hawa, wao waliambiwa tokeni huku hali ya kuwa mumefukuzwa na nendeni duniani na huko tutawaleteeni mwongozo na atakaeufuata atasalimika na atakaeuacha atakuwa kadhulumu nafsi yake.

Sasa basi kipindi hicho hakukuwa na mambo ya siasa bali kulikuwa na miongozo ya vitabu vya dini pekee na wasimamizi walikuwa mitume na manabii.

Tukiigeukia historia,vita takatifu ya kwanza kabisa ilipiganwa mbinguni kati ya malaika na majini baada ya wao kupuuza mwongozo wa MUNGU na mwishowe wakafutwa wote na akabakia mmoja ambae yeye akawa chanzo cha uzawa wa hawa waliopo sasa.

Vita ya pili naweza kusema ilikuwa baina ya Nuhu ambae yeye kwake aliiona ni ngumu kwa yeye kupigana na akaomba msaada kutoka mbinguni na MUNGU akashusha maji na ikawafuta watu wote isipokuwa wachache tu walioingia kwenye jahazi.

Vita nyingine ni.
Luti
Nabii issa na waislaeli ambao walikuwa hawamtaki kabisa.
Musa.
Daudi hao wote walipigana hivyo vita vitakatifu...nk.

Sasa basi wanaoweza kuvisimamia hivi vita takatifu ni wale ambao wanaona utawala Fulani una udhalimu na kwaiyo wao wanaruhusiwa kufanya hivyo vita kisheria ya dini ili kuuondoa huo utawala.

MF:
MUNGU alimtuma Nabii Musa kwenda kupambana na firauni na jeshi lake japo na wao walikuwa wanapinga kama tupingavyo sisi lakini ilitakiwa lazima afanye hivyo.

Sisi karne hii wasimamizi wa vita takatifu ni viongozi wetu wa dini hata kama sisi wengi wao tunapinga na hatutaki..

Wao wataangalia kisheria japo wengine hawapendi na watachukia ila wao watachukuwa maamuzi ya kupigana na tukumbuke kuwa hizi siasa zimetokana na vitabu vya dini na watawala wamebadilisha na kuweka ya kwao.

Dini imekuja kutenganisha haki na baatil.

Tatizo lililopo:
Ni kuwa dini inatakiwa iwe moja ili imuabudu MUNGU mmoja hapo ndipo lilipo tatizo..nani asikilizwe na nani asisikilizwe.

Cha msingi ni sisi kusoma sana ili kujua na dini ipi ipo sawasawa na tusiingize ushabiki wala matashi ya kidunia.
Upo sahahi mkuu

BALI VITA VYETU SI VYA DAMU NA NYAMA
BALI NI KWA ROHO MTAKATIFU
 
Back
Top Bottom